Aliyewaloga Watanzania awasamehe maana inatosha sasa!

Nyuzi kama hizi huwezi kuta Nomadix anachangia kwa bashasha ila sasa nyuzi akianzisha mshangazi au nusrat.. atakimbiza uzi hovyo hovyo...

Alafu tunasema nani katuroga
mkuu I mean no malice btw nimechangia mapema tu niliona uko bize na uzi wa picha za warembo worldwide

Nimesikitika sana nani kamroga poor brain!
πŸ™‚
 
Na Kuna waatanzania wanawashabikia wabunge wanaotoa hoja za kibwege.
kwa mfano huyo aliyetoa hiyo hoja ameshapata umaarufu kisa ujinga aliouzungumza.
Wanafikiri kuna mtu wanamkomoa kumbe wanakomolewa wao. Utakapo mpima mtu mku.. ndu ukagundua kwamba kweli utafanya nn?
Hiyo ni hoja?
 
Comment hii ina hisia kali.....
Nilikuona umeniita kwny uzi kule wa kuchapwa bao mbili....kweli? Jamani at that moment...
😊 😊 😊 😊 😊
 
Hawana tofauti yoyote na hawa wanaokimbizana huku mtaani eti green guard sijui ushuzi gani!

Juzi niliwaona wanakimbizana hapo sanawari Jua kali kama mazezeta eti wanamsemea mamaπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
Comment hii ina hisia kali.....
Nilikuona umeniita kwny uzi kule wa kuchapwa bao mbili....kweli? Jamani at that moment...
😊 😊 😊 😊 😊
Pole sana mtani wangu mrembo Kalpana nilikuwa nawasabahi na kuwapa pole kwa mpigo. Nilijua hutotokea nakujua mtani wangu πŸ₯°
 
Wanafikiri kuna mtu wanamkomoa kumbe wanakomolewa wao. Utakapo mpima mtu mku.. ndu ukagundua kwamba kweli utafanya nn?
Hiyo ni hoja?
Ninachokiona katika nchi hii Kila kiongozi anataka ku trend.

Ku tendi tu!😎
 
mkuu I mean no malice btw nimechangia mapema tu niliona uko bize na uzi wa picha za warembo worldwide

Nimesikitika sana nani kamroga poor brain!
πŸ™‚
Hahaha πŸ˜‚
 
Ni kweli inasikitisha sana ila hakuna ninao waonea huruma kama wanaopewa sabuni na mchele wakati wa uchaguzi then wanakuja kutaabika kwa miaka zaidi ya 20 tena sometimes na matusi wanatukanwa na kesi wanabambikiwa hao kwangu ndiyo ninaowaonea huruma nje na wale wa tshirts na kofia daaah...
 
Kusema ukweli wananchi wa Tanzania wanachezewa sana na sababu za kuchezewa ni wao wenyewe.

Kila binadamu abebe msalaba wake mwenyewe.
 
Kwa sababu wananchi wenyewe ni oyqoya. Wanafikiri kuna watu wapo kuwatetea wao wakiwa watazamaji
Mabadiliko ya kweli hayaletwi na Lisu au Heche bali na wananchi.

Mbuzi watapigiwa sana gitaa na hawataweza kukatika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…