Aliyewaloga Watanzania awasamehe maana inatosha sasa!

mkuu I mean no malice btw nimechangia mapema tu niliona uko bize na uzi wa picha za warembo worldwide

Nimesikitika sana nani kamroga poor brain!
πŸ™‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒDaaah kweli kazi kazi
 
Hawana tofauti yoyote na hawa wanaokimbizana huku mtaani eti green guard sijui ushuzi gani!

Juzi niliwaona wanakimbizana hapo sanawari Jua kali kama mazezeta eti wanamsemea mamaπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Hahaha πŸ˜‚πŸ€£
 
Kuwatetea kuhusu Nini?,wananchi wana akili,,wanajua hao waliojipa vyeo vya utetezi nao ni njaa inawasumbua
Unapajua nyumbani kwa nyerere pale mikocheni? Panafafanana nyumbani kwa diwani wako?
Aliwatetea wananchi au hakuwatetea?
Mwalimu alikuwa na njaa nae?
 
Mimi nilifikiri utaongelea pengine ishu ya kujadili mpira kuanzia asubuhi mpaka jioni kumbe unaongelea ishu za mtu mmoja mmoja na hisia zake? Actually watu wa chini kujihusisha na matukio ya kisiasa ni jambo jema maana inaonyesha kuwa angalau pole pole wanaamka.

 
Na Luka ni model kwa baadhi ya watanzania kisa uchawa wake.

Juzi nilienda sehemu fulani nikakuta umati mkubwa wa watu umemzunguka Mwijaku eti Kila mtu anataka kupiga naye pichaπŸ€”

Nililia sana mkuu.
Au ni ule mwenge wa kichawi unapumbaza ..ila Sasa si unajua tunatofautiana wengine tuna mizimu mikali hayo mamwenge hayatusumbui ila asilimia kubwa kiroho ni empty set Yan wakipigwa tu kombora la kuzubaisha na kupumbaza basi
 
Hii picha uliyoi attach nimepindaπŸ˜‚
 
Au ni ule mwenge wa kichawi unapumbaza ..ila Sasa si unajua tunatofautiana wengine tuna mizimu mikali hayo mamwenge hayatusumbui ila asilimia kubwa kiroho ni empty set Yan wakipigwa tu kombora la kuzubaisha na kupumbaza basi

Mi nadhani mngeanza uchunguzi kwenye ule Moshi wa Ile torch.
Sidhani kama ile sigara inaweza kuwapumbaza watu akili.
 
mkuu I mean no malice btw nimechangia mapema tu niliona uko bize na uzi wa picha za warembo worldwide

Nimesikitika sana nani kamroga poor brain!
πŸ™‚
Bumbavu we Poor Brain kumbe ndio zako...unaenda kupigika vibarua kazi ngumu kuvuja jasho ovyo with no reasonable price ili ukawape pesa hao warembo kwenye picha unaokesha kuwaangali tena pesa yenyewe ya mawazo ... kalagabaho
 
Sidhani kama ile sigara inaweza kuwapumbaza watu akili.
Fuatilia historia yake. Ulishawahi kusikia kuhusu zindiko la mchawi Forojo Ganze kuihusu Tanganyika. Usione watu wazima na akili zao wanakimbiza litaa nchi nzima ukastaajabu. Na ukileta ujuaji sijui ulifute unakuwa mwendazake chap; au maafa makubwa yatatokea. Wadanganyika yaani dah! 😭

 
Bumbavu we Poor Brain kumbe ndio zako...unaenda kupigika vibarua kazi ngumu kuvuja jasho ovyo with no reasonable price ili ukawape pesa hao warembo kwenye picha unaokesha kuwaangali tena pesa yenyewe ya mawazo ... kalagabaho
Mkuu mi nafanya kazi za kuvuja jasho napata pesa halali na ndio hata vitabu vya dini vinasema hvo..

Kwanini wewe hutaki kazi ngumu mkuu why upendi kuvuja jasho
 
Umemaliza kila kitu, asipo kuelewa itabidi fimbo ihusike sasa 😊
 
Nilikiwa sijui mkuu, dah.
 
Mie kinachonishangaza kuhusu huyu Lissu ni kwamba familia yake wanaishi Belgium ila yeye anataka kuwatetea watanzania wa Buza, na kingine bunge la Ulaya ndio linamkingia kifua pia. Hivi huyu kwa mfano akichukua nchi hao wabongo wa Buza na Kizuramimba atawakumbuka kweli au atawakumbatia hao jamaa zake wa bunge la Ulaya? Ni akili ku mkichwa kwa wabongo, Lissu yupo kwa maslahi yake na mabwana zake wa EU.
 
Haya mambo ukiyafikiria kwa kina lazima utapata jibu la kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…