Aliyewaloga Watanzania awasamehe maana inatosha sasa!

SHIDA MNAWALALAMIKIA WATANZANIA LAKINI HAMSHUGHULIKI NA CHANZO CHA HAYA KUWA HIVI,NA HILI NDIO TATIZO KUU LA WATANZANIA HASA WASOMI.AKISHIBA TU KILA MTU MJINGA NA WA AJABU.
 
Kama walikubali kujengwa hivo basi wao ndo wajinga.
Basi kama wamekubali kujengwa hivyo basi watakoma.
Nadhani naona bora wazidi kuwa wamerogwa maana nyani mwenye dola ameshagundua umuhimu wa bunduki na yuko tayari kuitumia.Ngedere wakae chonjo.
 
Mdude Nyagali watu washaacha habari naye kama hakuna kilichotokea , wana-deal na wanayejua alipo tu … kama hujiwezi huna balozi anayekujua personally tena wa nchi za magharibi achana na Jamhuri ya Bongo
 
Nadhani naona bora wazidi kuwa wamerogwa maana nyani mwenye dola ameshagundua umuhimu wa bunduki na yuko tayari kuitumia.Ngedere wakae chonjo.
Ila manyani wengi wa chini hawajui kinachojiri katika nchi hata wakijua kinachojiri basi hawajui chanzo kisababishacho kujiri kwa yanayojiri.
 
Mdude Nyagali watu washaacha habari naye kama hakuna kilichotokea , wana-deal na wanayejua alipo tu … kama hujiwezi huna balozi anayekujua personally tena wa nchi za magharibi achana na Jamhuri ya Bongo
Baadhi ya watu hapa Tanzania wanakuvimbisha kichwa lakini ukizama kwenye kina kirefu hakuna hata anayekusaidia.
Utaacha familia yako na haitapata msaada kwa wale waliokufanya ufure kichwa😐
 
Baadhi ya watu hapa Tanzania wanakuvimbisha kichwa lakini ukizama kwenye kina kirefu hakuna hata anayekusaidia.
Utaacha familia yako na haitapata msaada kwa wale waliokufanya ufure kichwa😐
Hakuna mwenye mpango , vijana inabidi wajiangalie kabla hawajaamua liwalo na liwe
 
Hayo unayoyasema hayapo Tanzania tu,bali ni ulimwenguni kote.
Basi kama ni kulogwa hatuko peke yetu.
 
Unaelekea baadaye utakuwa mwandishi mzuri kidoogo sana!.

"Watoto wezi je, ni wa nani na nani ameshindwa kuwalea kuwa na tabia njema?"

Next time anza kama ulivyoanza alafu eleza msababishi wa hicho unachotaka kueleza, kisha maliza kwa heri 😒!.
 
Mkuu mi nafanya kazi za kuvuja jasho napata pesa halali na ndio hata vitabu vya dini vinasema hvo..

Kwanini wewe hutaki kazi ngumu mkuu why upendi kuvuja jasho
Muulize Lugumi atakupa jibu. Jibu la Lugumi ndio jibu langu. Endelea kuvuja jasho ukawape vidosho wa picha za warembo.
 
Muulize Lugumi atakupa jibu. Jibu la Lugumi ndio jibu langu. Endelea kuvuja jasho ukawape vidosho wa picha za warembo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Skia sasa fanya kazi za kuvuja jasho kwa faida yako mkuu ya afya na mengine mengi
 
unakumbuka derby ya 2013 kati ya simba na Yanga? Yanga alitangulia kwa kufunga magoli matatu kwa nunge, kipindi cha kwanza, kilipoanza kipindi cha pili simba walifanya comeback ya maana mpira ukiisha 3-3, kuna Watu walipoteza maisha
Mwna weeeenusinikumbushe mm simba ila baD ya 3 za yangannilifungabredionnafunguanmoira umemaliz a 3 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…