Watanzania tusipobalidilka tutaendelea kuwalaumu CCM. CCM wangefanyeje kama watu akili zao ndo ziko hivi.
Tanzania ni nchi ambayo watu wake huchukua Kile wanachokisiki kutoka kwa mdomo wa mtu maarufu wanayempenda bila kuchuja kwa akili zao.
ππ
Nyerere aliwadanganya kuwa Urefu au ufupi ni kipaji na wqliaminiπ€£π
Oya implicit memory uko wapi?