Aliyewaonyesha kazi wavulana kidato cha nne huyu hapa.........

Aliyewaonyesha kazi wavulana kidato cha nne huyu hapa.........

lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.

Hongera sana Lucylight Mungu akutangulie kwa yote
 
hongera sana,
hata mwaka jana aliyeongozea alikua ni msichana pia.CHEERS TO ALL GIRLS.
 
ah ah ah u made my dei,wat men can do women do it beta!
Halafu bado tunawazia mambo ya viti maalum kwa wanawake, wakati kwa hali inavyoonyesha viti maalum kwa siku za usoni zitatakiwa kupewa akina baba!..huh!
 
hehehehe lol... eti ben ten...wengine wanunuwa yale masaa hasa wakayavaa ya ben 10...kazi wanayo..
.you're right, boys wetu wanakimbizana na ben10, wanafikiri watapiga miujiza ya ben10.
 
hongera sana lucy mungu azidi kukutangulia na umtegeemee mungu kwa kila jambo mfanye mungu kuwa baba na mama utazidi kufanikiwa hatakuacha kama alivyosema sitawaacha ninyi yatima bali atakupatia msaidizi ambaye ni roho mtakatifu wa kukuongoza kwa kila jambo
 
lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.
baada ya muda hatuwasikii tena...siji waolewa..sijui ndo kukariri...!!!nway, hongera na kila laheri!
 
Mungu akubariki dada yangu. Kazana usije ukajisahau.
 
Amefaulu mwenyewe au amefaulishwa,kuna tendency ya kuwaweka juu watoto wa kike katika matokeo kama haya ili tuone kuwa nao wanaweza na wengine wasome!!!Hizi ni danganya toto!!Ina maana miaka yote ya karibuni wao tu ndo vipanga?tafakari.Unayebisha fuatilia matokeo yao wakifika a'level au vyuo!ratio haipo na hailingani.Nawasilisha
 
Halafu bado tunawazia mambo ya viti maalum kwa wanawake, wakati kwa hali inavyoonyesha viti maalum kwa siku za usoni zitatakiwa kupewa akina baba!..huh!
Hahaha! nimeipenda hii kwahiyo itafika mahala tunatengewa viti maalum bungeni tusipokaza buti.
 
yule dada amesha sahaulika kabisa dah bongo bwana

tiqo, siyo yule dada tu ndiyo amesahaulika katika tanzania hii, wapo wengi sana, tena wengine mpaka unajiuliza why? Kuna kijana anaitwa ernest, huyu kijama alifanya mambo makubwa o'level plus a'level, akaenda muhimbili, ndiyo kwanza alikuwemo kwenye kundi la vijana waliosimamishwa chuo na kurudia mwaka kwa migomo pale muhimbili, kama unakumbuka mgomo wa mwaka 2002, na siyo yeye tu wapo wengi sana, taifa hili halina mipango ya maendeleo kwa vijana wake walifanya vizuri mashuleniili kuwaendeleza kwa manufa ya nchi miaka ya baadaye, hakika hakuna, pro. Shayo alijitahidi lakini watu wa kumsupport hakuna amekufa na idea yake kichwani, hii ndiyo tanzania, rip my tanzania.
 
Hongera binti,salam ziwaendee wale mabinti wote ambao wanajiona hawawezi!!keep it up
 
kaza buti mamy usije ukabweteka na hizi hongera unazopata sasa, safari bado ni ndefu HONGERA SANA
 
Re: Aliyewaonyesha kazi wavulana kidato cha nne huyu hapa.........<!-- google_ad_section_end -->
<!-- google_ad_section_start -->
quote_icon.png
Originally Posted by Rutashubanyuma
lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita

ongera sana dada



 
kuna mtu kachangia hivi
""Halafu bado tunawazia mambo ya viti maalum kwa wanawake, wakati kwa hali inavyoonyesha viti maalum kwa siku za usoni zitatakiwa kupewa akina baba!..huh!<!-- google_ad_section_end --> """
halafu watu wakamgongea thanks
 
Back
Top Bottom