MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.
utaona mifataki inaanza kumnyemelea kwa ofa ya vitabu na ada mshindwe na kulegea
Halafu bado tunawazia mambo ya viti maalum kwa wanawake, wakati kwa hali inavyoonyesha viti maalum kwa siku za usoni zitatakiwa kupewa akina baba!..huh!
hongera sana,
hata mwaka jana aliyeongozea alikua ni msichana pia.CHEERS TO ALL GIRLS.
.you're right, boys wetu wanakimbizana na ben10, wanafikiri watapiga miujiza ya ben10.
Utaona mifataki inaanza kumnyemelea kwa ofa ya vitabu na ada mshindwe na kulegea
baada ya muda hatuwasikii tena...siji waolewa..sijui ndo kukariri...!!!nway, hongera na kila laheri!
MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.
Hahaha! nimeipenda hii kwahiyo itafika mahala tunatengewa viti maalum bungeni tusipokaza buti.Halafu bado tunawazia mambo ya viti maalum kwa wanawake, wakati kwa hali inavyoonyesha viti maalum kwa siku za usoni zitatakiwa kupewa akina baba!..huh!
yule dada amesha sahaulika kabisa dah bongo bwana