Aliyewaonyesha kazi wavulana kidato cha nne huyu hapa.........

Aliyewaonyesha kazi wavulana kidato cha nne huyu hapa.........

lucymallya.jpg

MWANAFUNZI aliyeongoza mtihani wa kidato cha nne kitaifa mwaka 2010, Lucylight Mallya (18), amebainika kuwa ni yatima ambaye wazazi wake wote walifariki dunia miaka minne iliyopita.

Ruta;

Asante sana this is very inspiring and we should be proud of gals like her.

Wanaharakati wa Maendeleo ya wanawake ni vema wakalichkua zaidi na kulitumia katika kudai usawa wa kijinsia kuwa "WANAWAKE WAKIPEWA NAFASI WANAWEZA"

Hata hivyo nitoe angalizo kuwa Elimu pekee si mafanikio katika Maisha. Inahitaji jitihada ya ziada katika maeneo mengine. Nina mifano ya watu wengi walioanza maisha mara tu baada ya kumaliza darasa la saba au form IV lakini sasa wana maendeleo makubwa sana kutokana na juhudi zao halali.

Tunayo pia mifano ya watu wengi ambao wamekuwa wakiongoza kimasomo la saba, O-level, A-level, University lakini maisha hayaendi sawa.

Sina maana kuwa Elimu isizingatiwe na si kwamba haina mchango katika maisha, lakini yataka jitihada ya ziada kufanikiwa katika maisha.

QED
 
Hongera Lucylight, umenitia moyo kuendelea kunoa binti yangu aje aniletee hii pride!
 
HONGERA SANA LUCYLIGHT sijui kama mtoto lulu(elizabeth michael) ameona na kuelewa na yeye awe anafanya mambo kama haya!!!!!!!!!!!!!!
 
Hongera sana binti... Sasa usivimbe kichwa ukajiona ndo umemaliza... huo ni mwanzo tu.... Wish u success in your next step.
 
Hongera dada yangu, keep it up!! hakikisha elimu yako inakuwa ya ukweli na si ya kuchakachuwa!!
 
Hongera LucyLight!
Wewe niwapekee na Mungu akubariki siku za usoni.
 
mimi sioni cha ajabu yeye pia ni mtu hata kama ni mwanamke,kipaji kwenye shule nzuri matokeo yake ndio hayo kwa hiyo akuna cha ajabu .
 
Watu wanachakachua maoni humu,yakiwa negative!!!Lakini ndio ukweli.Tusipende sifa tu.Tupende na changamoto
 
Halafu hawa wadogo zangu wa kichaga nawakubali. Wakiongoza wanaongoza kweli!
12_10_mvp75p.jpg
Salome Maro

lucymallya.jpg
Lucy Mallya
 
Ingawa cliteria inayotumika hapo bado ina walakini. Vipi yule wa NAPUTA? amesoma st vibandani( hakuna sakafu,hakuna mwalimu, hakuna taa, anatembea km 10x 2= 20 a day, no tuition)
Halafu anaingia St kata secndary academy mambo ndo yanazidi maana darasani wako strream kama 10 hivi jumla 350, walimu ni watatu au wawili shule nzima form 1 mpaka IV. Hakuna maji, chakula cha kudunduliza, hakuna umeme wanatumia taa za vibatari ama magari yanapopanda milima usiku, hakuna vitabu wanatemea notes/desa la mwalimu, hakuna photocipy bali ni kuandika ubaoni na wakati mwingine inabidi mwanfunzi mwenza adictate maana chaki hakuna!! halafu mtihani mmoja wa form IV na NECTA wanatangaza kipamga kutoka st MARIAN!!!! Mie naona kama haijatulia! kuwe ushindani wa tofauti. Nmjua mmoja alitoka NAPUTA ana div Three ya kuchechemea akaenda A Level PCM huko alitoka na point 3 na mlimani pale enginnering akamaliza na GPA ya 4.6. Baraza li review ushundani ili mwnafunzi wa naputa naye aonekane!!
 
kuna wakati hawa jamaa wanapendelea,mbona maria dorin hajapewa sifa hizo!!!LinganishaLUCYLIGHT E MALLYA 7 I CIV-A HIST-A GEO-A B/KNOWL-A KISW-B ENGL-A PHY-A CHEM-A BIO-A B/MATH-A MARIA-DORIN J SHAYO 7 I CIV-A HIST-A GEO-A B/KNOWL-A KISW-B ENGL-A PHY-A CHEM-A BIO-A B/MATH-A
 
Jamani kuna kina dada wengi tu wanapasua mbuga kimyakimya. Mimi namkumbuka dada mmoja anaitwa Vicky Manyanga alikuwa kipanga sana, nasikia sasa hivi keshapata PhD huko ughaibuni. Big up girls!:A S crown-1:
<input id="gwProxy" type="hidden"><!--Session data--><input onclick="if(typeof(jsCall)=='function'){jsCall();}else{setTimeout('jsCall()',500);}" id="jsProxy" type="hidden">
 
Back
Top Bottom