Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World.
Hizi pesa za campaign zingewekezwa kwenye elimu na barabara nchi ingekuwa mbali kiuchumi. Mimi naona campaign hazina maana kabisa serikali iendelee tu na uwekezaji maana tayari Bunge limeridhia mkataba basi utekelezaji ianze Mara moja. Campaign ya nini sasa?
Mimi kifupi niulisoma kabla hata haujatapakaa binafsi niliona ni mkataba feki serikali haiwezi ku sign mkataba ule tena wenye sign ya rais. Niliona ni kashfa kubwa sana ya rushwa.
Baadae nikisikia kuna kikao club house cha Msemaji wa serikali na Mkurugenzi TPA. Nilishituka Mkurugenzi yule mzalendo akatuthibitishia ule ni mkataba halali nikaishiwa nguvu. Baada ya hapo nikajiona nipo gizani naota.