Aliyeweka video ya mwanajeshi akisachiwa kwenye mitandao kwani anatuma ujumbe gani?

EEEEnHEEEEE!
Mbona unajihami mapema hivyo!
Mimi sina sababu ya kujificha kwenye vichaka kama unavyotaka kufanya wewe.
Huwa sina simile kabisa na 'pretenders' wa aina yako.
Je ni Wapi nmejihami?

Jibu swali kwanza..!
Usipotezee mada ulyoanzisha naona unajb tofaut na nichoulza
 
Kiukweli ile ni meseji tumetumiwa, ni muda sasa kwa jw kua mguu sawa kwa chochote na kuongeza ulinzi katika mipaka yetu. Natamani piq waziri wa ulinzi awe mtu mwenye history ya jeshi ameuzuria mission kazaa awe mtu mwenye roho mbaya no mercy. Asiwe mtu wa diplomatic
 
Baada ya kuiharibu nchi, mifumo yake na vyombo vyake nyie nzi wa kijani ndo mnakuja na siasa zenu mfu?

Hamkuyaona haya wakati mnaingiza siasa Jeshini na kwenye vyombo vyetu vya ulinzi na usalama?

Ndo mjue mmeliharibu na kuliangamiza hili taifa wajinga nyie
Jeshi letu lenyewe limekua na uswahili mwingi, yani Askari wetu wa mchongo mchongo tu yani hawana sifa wengi wao wameingia kwasababu hakuna Ajira.
 
Je ni Wapi nmejihami?

Jibu swali kwanza..!
Usipotezee mada ulyoanzisha naona unajb tofaut na nichoulza
Naona una matatizo wewe.
Mimi nimeanzisha mada ipi unayosema "usipotezee"?
Naelewa Kagame anao watu wake hapa ambao kila siku wanahaha Tanzania inafanya nini.
Kamwambie athithubutu, kama anavyowafanyia huko kwingine.
Kama wewe umekubali kuja kuishi na kujitambulisha kama mTanzania, achana kabisa na siasa za huko ulikotoka. Tutaku'treat' kutokana na matendo yako. Kama unajivisha uTanzania huku ukifanya mambo yanayo hatarisha usalama wetu, hatutasita kukupasha ipasavyo.
Usifikiri mtakuwa na mwanya wa kufanya hapa kama wenzenu M23 wanavyo fanya huko Kongo. Rwanda ni nchi ndogo tu, na itabaki kuwa hivyo; msidhani kutakuwepo na himaya kubwa ya kujitanua kwa kuvamia kinyemela sehemu za majirani zenu mnakopeleka watu wenu.

Sasa, kama bado hujanielewa, wewe utakuwa ni kihiyo kwelikweli.
 
Kuna compromise pahala wanajuana behind the scene ndio maana kampiga mkwara, ha hii ilivyotokea it wa a strategic move... watu wa mayenu wametuangusha
Tunatakiwa kwenda kuokoa jahazi, au wewe unaonaje?
 
Naona una matatizo wewe.
Mimi nimeanzisha mada ipi unayosema "usipotezee"?
Naelewa Kagame anao watu wake hapa ambao kila siku wanahaha Tanzania inafanya nini.
Kamwambie athithubutu, kama anavyowafanyia huko kwingine.
Kama wewe umekubali kuja kuishi na kujitambulisha kama mTanzania, achana kabisa na siasa za huko ulikotoka. Tutaku'treat' kutokana na matendo yako. Kama unajivisha uTanzania huku ukifanya mambo yanayo hatarisha usalama wetu, hatutasita kukupasha ipasavyo.
Usifikiri mtakuwa na mwanya wa kufanya hapa kama wenzenu M23 wanavyo fanya huko Kongo. Rwanda ni nchi ndogo tu, na itabaki kuwa hivyo; msidhani kutakuwepo na himaya kubwa ya kujitanua kwa kuvamia kinyemela sehemu za majirani zenu mnakopeleka watu wenu.

Sasa, kama bado hujanielewa, wewe utakuwa ni kihiyo kwelikweli.
Sawa mTanzania mwenzang, nazan watakua wamekuelewa hao wanaopima kina cha maj kwa mguu.
 
Kiukweli ile ni meseji tumetumiwa, ni muda sasa kwa jw kua mguu sawa kwa chochote na kuongeza ulinzi katika mipaka yetu. Natamani piq waziri wa ulinzi awe mtu mwenye history ya jeshi ameuzuria mission kazaa awe mtu mwenye roho mbaya no mercy. Asiwe mtu wa diplomatic
kwenye wazir pia mama etu hapo ikija fita ni changamoto. lazma waombe ushaur kwa wanaume
 
Jw kazi Yao siku hizi ni kufuga vitambi tu na kusumbua wananchi barabarani Kwa kutanua na magari yao
 
Back
Top Bottom