binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Wale vijana wa 5 wameshakamatwa ni kwa vile kuna hatua za kufuata kushughulikia hili, Comfirmed. Tena kama yule mchukua selfie ni ajira ya mwaka jana masikini. Mama Captain bado hajaguswa hadi sasa…. Mnatuambia nini? Hawa vijana wakitumwa kulinda amani Victims wa vita watapona kweli?
Jeshi kazieni discipline kwenye recruitment , vile vivuta bangi mmevitoa wapi? Vile vikijana ni vishoga, Kijana straight anawezaje kuvua nguo na kuwa uchi vile mbele ya kijana mwenzie jinsia moja?
Hatua kali zichukuliwe, Sisi wana mtandao (wanachi) hatutawaelewa.
#JeshiLimechafuka#