Aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa Yombo atiwa mbaroni

Aliyezusha kifo cha binti aliyebakwa Yombo atiwa mbaroni

#Aliyesambaza taarifa kapatikana waarifu Bado hawajapatikana😂#

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Amos Lwiza (54) mkazi wa Tegeta Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani humo, kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mitandaoni kuwa binti mkazi wa Yombo Dovya ambaye video zake zilisambaa mitandaoni akibakwa na kulawitiwa na vijana watano kuwa amekutwa tayari kashafariki dunia.

Kamanda Muliro amesema binti huyo anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai hajafa, kama ambavyo taarifa zimekuwa zikisambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na kwamba uchunguzi wa tukio hilo la kikatili bado unaendelea.

#KitengeUpdates

Pia Soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

- Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam: Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao
Amosi kayatimba, haha
 
Ushauri wangu afande auawe, na waliomfanyia ukatili huo pia wauawe.

Wasiwasi wangu binti huenda akajiuwa
 
Jioni nilikuwa naulizia kwa “mtu” kama wamekamatwa or not akanipa hiyo taarifa ya kukamatwa tu sikumuuliza kama ni wajeshi au mapolisi, Ila katika kuongea ongea ndio akaniambia huyo mwenye uso mpana ni ajira mpya (aliongea kwa kumuhurumia) .

Nikachukulia moja kwa moja kuwa ni wajeshini.

Btw, Miss you Jadda.
Dooh inashangaza sana yani mtu unajijua uko kwenye ajira za majeshi halafu unafanya vitendo vya namna hiyo

By the way hiyo video mimi sijaiona mpaka sasa hivi nasoma maneno ya watu tu kila mtu anasema lake

Miss you too my dear
 
Wengine wanakamatwa fastaaa,ila zile mbuzi zilizotenda unyambirisi na yule bosi wao Utaskia Bado Bado.upuuuzi
 
Back
Top Bottom