binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Mzee amebebeshwa mzigo wa kesi kwa muda....ili kupunguza kelele za raia wanaotaka kuwajua wahalifuWhat do u mean๐ค
Kuna formula inatengenezwa, wanajua baada ya mechi ya kesho ya Simba na yanga hili TUKIO litapotea masikion pa watupolisi wa tanzania ni wapumbavu namba moja
Duh 54 years! NA huyu mtasena gen Z?#Aliyesambaza taarifa kapatikana waarifu Bado hawajapatikana๐#
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Amos Lwiza (54) mkazi wa Tegeta Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani humo, kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mitandaoni kuwa binti mkazi wa Yombo Dovya ambaye video zake zilisambaa mitandaoni akibakwa na kulawitiwa na vijana watano kuwa amekutwa tayari kashafariki dunia.
Kamanda Muliro amesema binti huyo anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai hajafa, kama ambavyo taarifa zimekuwa zikisambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na kwamba uchunguzi wa tukio hilo la kikatili bado unaendelea.
#KitengeUpdates
Pia Soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
- Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam: Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao
Kuna formula inatengenezwa soon raia watakuwa kimyaWanaoiogopa kambi
Kuhusu uwepo wake Bado unazua minong'ono Kwan mpka ndgu zke unaambiwa hawamjui aliko japo police wanasema yupo safe๐คSema yule mtoto katombwa Sana , mkunduni na mdomoni kwa MTU tano Kama atakuwa amepona itakuwa ni kwa kudra za Allah.
Katombwa Sana , kutombwa na wat u watano msichukile powah
kwa jina la mweka mada nayeye ashikwe tu aongozane na wale watano pamoja na huyo msambaza taarifa!
[/QUOTE
๐๐๐๐๐
Kiziwi unakaribia Kuskia Tena utaskia kiukakamavu.Jeshi kazieni discipline kwenye recruitment , vile vivuta bangi mmevitoa wapi? Vile vikijana ni vishoga, Kijana straight anawezaje kuvua nguo na kuwa uchi vile mbele ya kijana mwenzie jinsia moja?
Mzee ana uchungu aise๐๐๐Muliro buana ,watu wanataka waliobaka na aliyewatuma na sio huyo jamaa ambaye unaona kabisa ana tatizo la afya ya akili maana kikawaida 54 yrs hauwezi kufanya aliyoyafanya.
๐๐๐ Ni kweli!Kiziwi unakaribia Kuskia Tena utaskia kiukakamavu.
๐
Nipo kibaha dada angu karbu san
Daaah wewe sister mbona wamoto hiviNipo kibaha dada angu karbu san
= wahalifu.#Aliyesambaza taarifa kapatikana waarifu Bado hawajapatikana๐#
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Amos Lwiza (54) mkazi wa Tegeta Wazo wilaya ya Kinondoni mkoani humo, kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo mitandaoni kuwa binti mkazi wa Yombo Dovya ambaye video zake zilisambaa mitandaoni akibakwa na kulawitiwa na vijana watano kuwa amekutwa tayari kashafariki dunia.
Kamanda Muliro amesema binti huyo anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai hajafa, kama ambavyo taarifa zimekuwa zikisambaa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na kwamba uchunguzi wa tukio hilo la kikatili bado unaendelea.
#KitengeUpdates
Pia Soma
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
- Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam: Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao
Wengi waliongia Jeshini hawafit kwenye nafasi zao.๐๐๐ Ni kweli!