Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Haya nayo ni maono au ramli?

Anyway walishasema hawana nia ya kumpeleka kwa Pilato.
 
Alafu wote wanazugaga kwakutumia neno la Mungu na kujidai wahubiri...
Bashite atalipaga tuu uovu alotendea watu tena hivi bado kijana kweli haezi hepa karma niswala la muda tuu!!

Natamani chizi mmoja atembelewe na roho ya bwana alikishe video ya CCTV shambulio la Lissu... Tuendeleze sala kuiomba haki na kweli yoote idhihirike!!
 
Huyo bazazi lazima afike mbele ya sheria
 
Nasikia ni kajukuu ka mchawi hatari wa gambushi hivyo sahauni kesi hapo.
 
huyo anajulikana mbona ...aliofanya nao hizi operation wapo na wanaishi mitaani wanajulikana muda tu
 

Clouds Media watakataa. Watasema zile sio ofisi zao[emoji23][emoji23]. Hapo ndo utajua kwamba hujui.
 
It's just a matter of time. Jinai haifi...

Bahati mbaya kwa Paul Makonda ni kuwa, watu wanao ushahidi wa matendo yake maovu moja baada ya jingine....

Mpaka USA wanajua kuwa yeye ndiye aliongoza kikosi cha kwenda kumuua Tundu Lissu kule Dodoma siku ya tarehe 7/9/2017, lakini ikawa mission unaccomplished...!

I say it again, it's just a matter of time for every thing hidden in dark corners to be put open in the light....!

Kanuni ya Mungu Yehova ni moja tu...

Tubia dhambi au uovu wako, pokea msamaha wa uovu wako, lakini the crucial step ya mchakato ya msamaha no kulipa gharama ya madhara ya dhambi ulizotendea watu wengine....!

Na mtu wa namna hii hawezi kuipata furaha ya kweli maishani mwake mpaka apitie mchakato huu hata kama atajidanganya kwa kufanya mambo fulani ikiwemo kujipa "utakatifu" bandia....!!

NO SIN WILL GO UNPUNISHED....!!
 
Basi tupaze sauti kwaumoja wetu. Yote kwa yote msingi imara wa utawalahakuna. Yaani katiba yenye kutibu haya, madaraka yawe mikononi mwa wananchi na si viongozi. Sasa ningumu kwa sababu mwananchi Hana uwezo wa kuhoji mambo kama haya mahakamani. Utaambiwa mpaka kibali cha raisi, Fikiria kikundi cha wachache kinajitungia sheria ya kutoshitakiwa eti hadi MUNGU apende mwenyewe.
 
Ni kweli DAB ana makosa lukuki na ya kutisha Sabaya chamtoto, ila uhusuiano wake na "Mama" ni zaid ya uujuavyo, hatofanywa chochote.
 

Atuoneshe alipomfukia Benni Saanane
 
Haya nayo ni maono au ramli?

Anyway walishasema hawana nia ya kumpeleka kwa Pilato.
Husimwamini mwanadamu,wanajeshi walipompindua Omar Bashir wa Sudan walisema hawatamkabidhi The Hague Ila mambo yameanza kubadilika sasa. Baada ya kunza kuondolewa vikwazo vya kiuchumi na kupewa misaada Sasa wameshaanza kuonesha nia ya kumkabidhi. So hata huyu kaka tuombe uzima ndugu.
 
Chadema mnatapatapa tu
 
Cc: Daudi Albert Bashite
 
Mungu haonei Bali hutenda haki
 
Sawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa lile tukio la wazi pale clouds nikiunganisha na kutolewa pastola Nappe pale serena. Huyu mtu hana chembe hata moja ya kuendelea kubaki mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…