Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Makonda alitia fora alipokuwa anatoa listi ya wauza unga. Eti jumatatu muende Polisi mkaripoti mseme kwanini mnauza sembe.
ile ilikuwa ni kuwahukumu wale watu kwenye dunia na watanzania.....wadai fidia kina ridhiwani leo heshima yao imekuwa ya mashaka kwenye jamii, kina manji, kuna wengine walikosa hadi ubunge kina azzan
 
Ili haki itendeke na ionekane imetendeka, Paul Makonda lazima apelekwe mbele ya sheria ajitetee kuhusu shutuma zinazomkabili toka kwa "wahanga" wa utawala wake . Ana tuhuma nyingi sana ambazo akitendewa kama Sabaya, watu watajitokeza kutoa ushahidi.

ANA SHUTUMA NYINGI ZA UKATILI, UPORAJI ETC, ATENDEWE HAKI NA SI KUONEWA

Makonda should b brought to face justice!
Makonda hana kinga ya kutokushitakiwa sasa kama unao ushahidi ya maasi yake kipi kinachokukwamisha kwenda mahakamani.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wadau Najaribu kujiuliza Tu Mh.MBOWE na Wenzake 3 Wanatuhumiwa kutaka KUVAMIA na KUSHAMBULIA VITUO vya MAFUTA Tukio ambalo Hakikutendeka kabisa
PAUL MAKONDA yeye ALIKIVAMIA Kituo cha TELEVISHIONI cha CLOUDS kwa BUNDUKI za KIJESHI akiwa na WANAJESHI na USHAHIDI UPO wa CCCTV KAMERA
JE kwanini ASISHTAKIWE kwa KESI ya UGAIDI?
Kwanini JESHI la POLISI halijawahi KUMHOJI wala KUMKAMATA kwa TUKIO HILO
JE PAULO MAKONDA ni NANI Mpaka ASIHOJIWE au KUKAMATWA?
Kama TANZANIA ni NCHI inayoheshimu UTAWALA wa SHERIA JESHI la POLISI LIMKAMATE PAULO MAKONDA na Wenzake
Screenshot_20210809-112223_Phoenix.jpg
 
Paulo hapo katika mwenendo wa tukio hilo, anatakiwa kupata jackpot ya kuburuzwa mahakamani kwa;

1) Ujambazi wa kutumia silaha (Armed Robbery).

2) Unyanyasaji/Uonevu (Abuse).

3) Matumizi Mabaya Ya Ofisi Ya Umma (Misuse Of Public Office).

4) Shambulizi La Kisaikolojia/Kimwili (Pyscholocigal Assault & Common Assault/Causing Griviously Bodily Harm).

5) Nia Ovu Ya Kufanya Uhalifu (Intent To Commit Crime).

6) Kuvunja Kiapo Chake (Breach Of Public Servant Oath).

7) Kuzua Taharuki Kwa Wafanyakazi na Wafanyabiashara (Stirring Up Chaos & Fear).

Note That; Haijalishi matendo yake kuyafanya ndani ya himaya yake ya kimadaraka (Territorial Jurisdiction), kuvunja sheria ni kuvunja sheria tu hata kama unacheo kikubwa kiasi gani. Mhalifu ni Mhalifu tu.

#MakondaAwajibishwe.
 
Makonda akienda na Askari wa Jeshi la polisi, na ilikuwa ndani ya mipaka take ya utawala, tofauti na sabaya ambaye akienda na Watu wake Binafsi lakini pasipo kuhusishwa mamlaka za polisi
 
Kwa huu usagaji kunguni kwa makonda huko aliko kama anaingiaga jf basi atakuwa kashaanza kukusanya kila kilicho chake akawe mkimbizi[emoji23]
WaTZ wanajua kusaga kunguni mzee, niliwanyooshea mikono jinsi walivyomsagia kunguni Biswalo
 
Kufuatia alivyojitetea sabaya kuwa aliyokua anafanya yalikua maagizo basi hapa kuna haja ya wengi waliofuta maagizo kwa style yake na wakaumza nafsi za watu basi nao washghulikie siamini kaa alikua peke yake
 
Kwan yeye hakuwepo wakat Sabaya na makonda wanafanya na kutenda watakavyo,??


2025 uwe mwisho wa SAMIA.
Jiwe alikuwa ni producer, director, cameraman, designer and actor, hakuna aliyeinua mdomo enzi zake (Ukiacha Bashite na Sabaya), na alishasema hapangiwi, and ilikuwa ukijifanya kiherehere anakushughulikia, kama alitaka kupiga mashangazi wa PM hadharani je huko sirini tunajua hata alikuwa anawaburuza vipi? Si aliwahi kusema huwa anawatukana Kabudi na Mipango wapumbavu? Kila ovu la utawala wake atalibeba mwenyewe
 
Kwani aliyesema .. ASKARI WA TZ HAKOSEI SHABAHA,?? ninan???



Kwann kashindwa kuunda Tume ituletee majibu ????


2025 iwe mwisho wa SAMIA.
Politically haina afya kumuundia tume mtangulizi wako, ni kutengeneza unneccessary unrests ndani ya nchi, MWIZI ATAENDELEA KUKIMBIZWA KIMYA KIMYA HIVI HIVI
 
Back
Top Bottom