Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Sijaenda maana sitaki kumuudhi mama wa kambo na hii kesi yake ya kubambikizia.
hebu niambie umeshaenda kumjulia hali Gaidi Mbowe kule Segerea au upo tu JF wakati Mwenyekiti wako ananyea ndoo??
 
Makonda hawezi kukamatwa milele.

Hata kwa sabaya ulisema hivyo hivyo kwamba hawawezi kumfunga....Jinai haifi...Makonda lazima atakamatwa tu ,kumbuka USA washampiga tanchi moja ya makosa yake ni mauaji(Dhuluma ya haki ya kuishi) ,Ben Saanane kabla ya kupotea alikuwa na mbishe na makonda ,kupora mali za wafanyabiashara ,kumiliki genge la unyang'ang'anyi(Organized Crime) ,ujambazi wa kutumia silaha etc
 
Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.

Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.

Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Si yupo Sauzi Afrika au??
 
Hata kwa sabaya ulisema hivyo hovyo kwamba hawawezi kumfunga....Jinai haifi...Makonda lazima atakamatwa tu ,kumbuka USA washampiga tanchi moja ya makosa yake ni mauaji(Dhuluma ya haki ya kuishi) ,Ben Saanane kabla ya kupotea alikuwa na mbishe na makonda ,kupora mali za wafanyabiashara ,kumiliki genge la unyang'ang'anyi(Organized Crime) ,ujambazi wa kutumia silaha etc
Hujui hata unachoandika boss
 
Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.

Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.

Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Hivi Paul Makonda ndiye Nani?
 
Ni kweli DAB ana makosa lukuki na ya kutisha Sabaya chamtoto, ila uhusuiano wake na "Mama" ni zaid ya uujuavyo, hatofanywa chochote.
Ni suala la muda, na hiyo "uhusiano mzuri" ndiyo hatari yake
 
Back
Top Bottom