Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Sijaenda maana sitaki kumuudhi mama wa kambo na hii kesi yake ya kubambikizia.
hebu niambie umeshaenda kumjulia hali Gaidi Mbowe kule Segerea au upo tu JF wakati Mwenyekiti wako ananyea ndoo??
 
Makonda hawezi kukamatwa milele.

Hata kwa sabaya ulisema hivyo hivyo kwamba hawawezi kumfunga....Jinai haifi...Makonda lazima atakamatwa tu ,kumbuka USA washampiga tanchi moja ya makosa yake ni mauaji(Dhuluma ya haki ya kuishi) ,Ben Saanane kabla ya kupotea alikuwa na mbishe na makonda ,kupora mali za wafanyabiashara ,kumiliki genge la unyang'ang'anyi(Organized Crime) ,ujambazi wa kutumia silaha etc
 
Si yupo Sauzi Afrika au??
 
Hujui hata unachoandika boss
 
Hivi Paul Makonda ndiye Nani?
 
Ni kweli DAB ana makosa lukuki na ya kutisha Sabaya chamtoto, ila uhusuiano wake na "Mama" ni zaid ya uujuavyo, hatofanywa chochote.
Ni suala la muda, na hiyo "uhusiano mzuri" ndiyo hatari yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…