Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Jamani mlegezeeni kidogo basi makonda wasije kweli wakamkamata, Makonda ni mtoto pekee wa Mr & Mrs Albert Bashite, Sasa akikamatwa itakuwaje kwa wale wazee? Muwe mnawahurumia basi hata wale wazee, si mnajua uchungu wa katoto hakohako kamoja ulikonako kakipata Matatizo.
 
Kuna mpumbavu mwenzako humu kaweka uzi kuwa katorokea Afrika Kusini. Wewe unasema anataka kutoroka! Ujinga mtupu!!!
 
Laa kazi kweli kweli, jee lini mara ya mwisho umemuona Makonda? Mtumie nauli arudi, yuko University of Uppsala, Sweden anafanya Master in Government and Management. Kamfuate.
 
madaraka yali mlevya ila hawa jamaa walijua kutamba huyu Mungu mwacheni aitwe Mungu laiti pumzi inge uzwa?
 
tofauti ya sabaya na makonda ni kwamba Makonda anashikiliwa kwa siri na kuachiwa hili limewakuta pamoja na aliekua dereva wake na mlinzi wake (kazi alishafukuzwa) ... na tayari alishaanza kulipia maovu yake kitambo. kimya kimya.
 
"...mimi ni mkubwa sana.....hata viongozi wenu wanajua...."
 
Lenye mwanzo halikosi mwisho alipofurushwa nduli amini Mali ya Mungu alisambaratika,kafa jiwe sabaya chali, bashite faili linaloading ndumba haziwezi tena mpa tumaini.
 
Ndumba zinapoexpire kifuatacho ni mashaka na aibu
 
Mchizi alidhan akitaka mungu sijui tumtegemee mungu huku familia za kina Ben Saanane na wengine tunalia kila siku kwa uchungu Mungu akuachii na huchukui round. Kuua kubaka ni ngumu sana kusamehewa. Maisha ya binadamu ni ya thamani
Ndo wajue kwamba Mungu yupo.Na sio KILA damu ni ya kutoa kafara
 
Acha kumfariji albadili huwa aiombeki msamaha,ilishaponda kichwa nn mkia.
Mungu aliiumba Dunia akaikamilisha na kuiweka kwenye misingi na ukiikosea hio misingi ni lzm ikuadhibu.
Hakuna mtu yeyeto duniani amewahi kuwa juu ya Dunia.
Walishindwa kina farao,nebukadineza,waliokuwa magwiji wa ndumba sembuse wa kuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…