Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Yote yaliyotokea Mungu kaonyesha uKuu wakeKama fundisho kwa wengine ,Mungu ametupa akili na utashi tukivitumia vibaya tunaangamia ,lakini ni hatua nyingine ya kujifunzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote yaliyotokea Mungu kaonyesha uKuu wakeKama fundisho kwa wengine ,Mungu ametupa akili na utashi tukivitumia vibaya tunaangamia ,lakini ni hatua nyingine ya kujifunzia
Kwa hiyo umenuna?Sasa si ukafungue kesi.
Mama hana mshkaji, Utawala wake haangalii sura ya mtu! Hata huyo Mulamula akizingua anamchomoa! Bashite muda wake unakuja soon, ni mtu mmoja tu atalianzisha then uchafu wote utawekwa hadharani, anamaadui kila sehemu; Upinzani, ndani ya CCM, marafiki wake wa zamani, wastaafu, Wafanyabiashara wakubwa, wananchi maskini, wafanyakazi....Kifupi hachomoki safari hiiMama alikuwa na bifu lake na sabaya .makonda mshikaj wake sana
Baada ya shujaa kufa huandiki tena namba ya simu na uandishi umebadilikaRobert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro
Kapilimba mtu smart usimchafue
Huyo jamaa msitegemee chochote kutoka kwake. Huyo sio mwenzetu tena, someni alama za nyakati.Roma:
Jitokeze sasa rasmi uuseme ukweli, maana ulipata kusema baada ya kuachiwa kua waliokuteka walimtaja makonda kama aliewatuma.
Ni muda wa kuielezea dunia kile ambacho watesi wako walikua wanakueleza juu ya kuagizwa na makonda.
Hautakiwi kuficha kitu chochote kile kwenye hilo suala na walimtaja makonda mara nyingi wakati wa utesaji wako, toka hadharani ili dunia ielewe nini kiliendelea maana ukikaa kimya haisaidii lazima ujitokeze na ukichelewa nitasema maneno uliyotueleza siku ile wakati tunakupa pole pale ndani tulibakia watatu tu nadhani ushakumbuka.
Ipo siku watamkana hata Magufuli tuombe tu uzima ndugu.Point! CCM watakuja kumkana Makonda siku moja kama walivyomkana Hamza
Yes, umeona alichoandika Vicky Kamata? Unakumbuka maneno ya Ndugai? Kuwa hakumbuki walipitishaje ile sheria? Ni dalili wazi kwamba Yohana atakuja kukimbiwa na kukataliwa na watu wakeIpo siku watamkana hata Magufuli tuombe tu uzima ndugu.
Aliyekuwa mkuu wa vikosi vya ulinzi na usalama mkoa wa Dar akisalimiana na makamanda wake.
View attachment 1976778
Huyu dogo aliishiwa kiki akaamua kuimba matusi... babako aitwe " K" utaridhika?Roma: