Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Inawezekana walimfumua marinda ndo maana hasemi kwa kuhofia vdeo zisisambae
 
Akamatwe tu, tunamtaka mkewe....watu tuko tumepanga foleni huku kijiweni kusubiri akamatwe tuhamie kwake. Katika foleni ya masela 1200 mimi ni mtu wa nne.
 
Kwanza hebu niambie umeshaenda kumjulia hali Gaidi Mbowe kule Segerea au upo tu JF wakati Mwenyekiti wako ananyea ndoo??
Jiandaeni uvccm wote mliokua mnatumika lazima muende lupango
 
Kwanza hebu niambie umeshaenda kumjulia hali Gaidi Mbowe kule Segerea au upo tu JF wakati Mwenyekiti wako ananyea ndoo??
Mbowe yupo ndani ya gereza tu na kukosa uhuru wake, lakini kwa taarifa yako sio inmates au askari wasiojua kuwa yupo mle kwa sababu ya kuwapigania wao. Hivyo kila mtu anamheshimu kama kiongozi wa watu tofauti na akili yako inavyo kutuma.
 
Niliwahi kumsikiliza MO akihojiwa na Salim Kikeke BBC. Pia, maelezo yake yalinichanganya sana.
 
Duh . Huo ndio utetezi wa mtu mwenye degree aliyewahi kua mkuu wa wilaya?
Hizi teuzi hazinaga interview??
Hiyo siyo diffence wee mbuzi labda hujui mienendo ya kesi hiyo inaitwa mitigation na ndivyo ilivyo otherwise mtafute mwanasheria akufundishe tofauti kati ya deffence, mitigation na allocutus au subiri ushtakiwe utaelewa mwenyewe suo moto maana hapa unashangilia kama shabiki wa mpira wakati wachezaji wanaumia subiri na wewe uingie uwanjani uijue
 
Makonda hawezi kukamatwa milele.
Mungu atamkamata kwenye maisha yake .Nani alijua Magu angekua six feet under.Mungu mwacheni aitwe Mungu.Makonda afanye sala ya toba hicho kitu au laana isiende kizazi cha tatu na cha nne .Angalia Nyerere kizazi chake .
 
Ukifanya ulinganifu wa uwovu kati ya Makonda na Sabaya utabaini kuwa Makonda ni zaidi ya Sabaya.

Makonda amefanya matukio mazito yasioelezeka lkn wala haguswi na dola. Sasa hii double standard ya kumsulubu Sabaya halafu kaka mkubwa Makonda akaachwa inasababishwa na nini?

Au tuamini kwamba :-
(a) Sabaya anasulubiwa kwasabb hwkula na wakubwa? Yawezekana wakubwa walinufaika sana na uwovu wa Makonda ndiyo maana haguswi.

(b) Sabaya anasulubiwa kwa jambo lingine lililo nyuma ya pazia na siyo uwovu unaoelezwa mahakamani? Yawezekana hayo matukio yametumika Kama njia tu ya kumtia hatiani lkn kuna jambo lingine limewakera wakubwa.

Kwasabb haiingii akilini Makonda aliyefanya matukio ya kutiisha yupo huru, lkn Sabaya aliyefanya nusu ya matukio ya Makonda yuko jela. Why????
 
atulie tu pamoja na kwamba jamaa kwa wakati mwngne alikuwa na vimajibu vya ajqbu na kqkibur hiv ,lkn bado tunakumbuka mchango wake ktk kupambana na wauza madawa ya kulevya,aachane na maneno ya watu .siku hiz n mkulima mzur so aendelee na kilimo aachana na maushaur ya watu,oo kimbia ,mala sijui fanya hv.anashda gani!?,
 
Mbowe yupo ndani ya gereza tu na kukosa uhuru wake, lakini kwa taarifa yako sio inmates au askari wasiojua kuwa yupo mle kwa sababu ya kuwapigania wao. Hivyo kila mtu anamheshimu kama kiongozi wa watu tofauti na akili yako inavyo kutuma.
pumbavu ,anampigania nani Yule gaidi! labda familia yake,taifa hili halijakosa wazalendo mpaka ,utuletee upuuz huu!!,Yule ni gaidi sawa na magaidi wengine,ova!!labda anakupigania ww na familia yako!!sh.....w.....a......in kabisa!!
 
Kuliko kuanza matusi ungeniambia tu kistaarabu. Lkn pia ungeniambia neno mitigation kwa kiswahili.
Hakuna haja ya mihemuko na kuchuma dhambi na kuharibu reputation yako kwa mijitusi.
Mwisho diffence ndio kitu gani?
Ustaarabu una reflect makuzi na aina ya wazazi.
Watoto wa Malaya hupenda sana matusi na kubeza.
 
Huyu anasubiriwa sana Ukonga na midume ya mbegu, ila hayuko peke yake - kuna IGP mstaafu Omari Mahita pia. Mahita alikuwa jambazi na aliua sana watu (walinzi wa benki). Mama Samia fanya kweli tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…