lunatoc
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,911
- 5,479
Watanzania ni watu wajinga sana.
Wote uliowataja hapo takribani wengi bado wapo hai kwanini wasiende kumfungulia mashtaka Hadi serikali Tena raisi ndio aende kufungua mashtaka !
Na wakati huo huo mnataka nguvu ya raisi ipunguzwe kikatiba!
Hamasisha watu waende kufungua kesi mahakamani acheni ujinga watanzania
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app