Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Vp mkuu? Mbona umeshtuka km umekalia kitu chenye ncha Kali? Au ndio mkuki kwa nguruwe?
Unaamini Sabaya na Makonda hakuna mema waliyoytenda so hawastahili kukumbukwa? Au mtu ukimchukia wewe basi wote tunapaswa kumchukia?
Acha uhuni!
Uhuni unauleta wewe kijana! Kutenda mema kadhaa hakumpi mtu ruhusa ya kufanya mambo ya kishenzi kama aliyokuwa anafanya Makonda na Sabaya tena hadharani.
Hao ni vijana washenzi na hawastahili kuishi na binadamu wastaarabu.
 
Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.
nipe kesi mbili za Makonda ambazo anastahili kushtakiwa kwazo.
Naamini huna zaidi utasema alivamia clouds, jambo ambalo walishalimaliza na wakaombana msamaha. Hata hivyo mbona clouds wao hawajamshitaki?
 
Mwenye ushahidi wa hayo yoote anasubiri nini kwenda mahakamani?

Acheni majungu nyie maka**ri.

Nchi hii mkiendekeza visasi kwa staili hii.

Wengi mtamalizia uzee wenu ukimbizini hapo baadae.

Mnajulikana na watu wanawapimia taratibu tu.

Hata huko Rwanda [emoji1206] walianza ujinga kama huu,taratibu.

Leo mtaifanya kwa Makonda na wengineo, ila mkumbuke iko siku na saa zamu yenu itafika.

Hao mnaowalipizia pia wanao ndugu na wafuasi wao.

Likitokea la kutokea kutokana na chuki mnazozieneza,muelewe kwamba inaweza kuwa sio mahakamani tena, bali milangoni kwenu.

Acheni kueneza moto ambao huwa hauzimwi kwa fire [emoji91] extinguisher,!

Wengi mnaoposti hizi chuki na visasi ni wapuuzi msiojitambua mbele yenu wala nyuma mnakotoka.

Siku zitaongea tu,endeleeni kutunza kumbukumbu.

Hii thread naomba #Mods naomba msiifute hii thread yangu.

Mungu ibariki Tanzania [emoji1241] [emoji813]
 
Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.
nipe kesi mbili za Makonda ambazo anastahili kushtakiwa kwazo.
Naamini huna zaidi utasema alivamia clouds, jambo ambalo walishalimaliza na wakaombana msamaha. Hata hivyo mbona clouds wao hawajamshitaki?
Brother,,mambio,

Hao wengi ni Chadema pro!

Kupigwa kwao chini wamechanganyikiwa na wanamuona kila aliyewahi kuhudumu jpm regime ni adui yao.

Wanabwabwaja bila kujua kikinuka hata wao watajikuta wametimka nje mazima.

Ni wapuuzi watupu tena wa kupuuzwa.
 
Makonda kama kuna tuhuma zenye mashiko,hayuko juu ya katiba,ashitakiwe avune alichopanda.
Lakini liwe pia fundisho kwa hao viongozi vijana michecheto kufanya mambo ya ovyo wakimsikilza nyampara wao badala ya kufuata kanuni rasmi/sheria za kazi zao.
 
Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.
nipe kesi mbili za Makonda ambazo anastahili kushtakiwa kwazo.
Naamini huna zaidi utasema alivamia clouds, jambo ambalo walishalimaliza na wakaombana msamaha. Hata hivyo mbona clouds wao hawajamshitaki?
Wewe tafuta za kwako acha kuishi kwa kuvizia vya wengine ndio utokwe jasho kutetea wahalifu humu. Unafikiri mahakama kuu iliyoridhia ashitakiwe wenyewe hawajui sheria wewe ndio unajua kuwazidi.
 
[emoji848][emoji848]
images (1).jpg
 
Brother,,mambio,

Hao wengi ni Chadema pro!

Kupigwa kwao chini wamechanganyikiwa na wanamuona kila aliyewahi kuhudumu jpm regime ni adui yao.

Wanabwabwaja bila kujua kikinuka hata wao watajikuta wametimka nje mazima.

Ni wapuuzi watupu tena wa kupuuzwa.
Yaan wanajiona wao ni wasafi balaa hawastahili kuguswa wala kupingwa. Ukienda tofauti nao jiandae kupingwa na kutukanwa.
Af wanajiita ni wapambania democrasia, akishitakiwa Mbowe wanadai serikali inamuonea ila akishitakiwa Sabaya na Makonda serikali inatenda haki.
 
Vp mkuu, walikubaka?
Walimbaka baba yako kenge mkubwa wewe!! Ina maana hukusikia vitendo vya Sabaya walivyo mlalamikia?

Mbona kwenye fedha alizonyang'anya kijambazi hujauliza kama kaniibia Mimi?
 
Unazeeka vibaya, na roho ya chuki itakuuwa kabla ya muda wako.
nipe kesi mbili za Makonda ambazo anastahili kushtakiwa kwazo.
Naamini huna zaidi utasema alivamia clouds, jambo ambalo walishalimaliza na wakaombana msamaha. Hata hivyo mbona clouds wao hawajamshitaki?
Hujui kitu kijana kwa vile uelewa wako ni kutokana na habari za magazetini tuu.
Unadhani US ni wajinga mpaka kumzuia asiingie kwao kwa vile "anazuia haki ya kuishi wengine"?
Unaelewa maana yake? Na hayo yalitokea baba yenu Magu akiwepo why alikaa kimya? Nyamaza apelekwe mahakamani ndio mbivu na mbichi utazijua.
 
Walimbaka baba yako kenge mkubwa wewe!! Ina maana hukusikia vitendo vya Sabaya walivyo mlalamikia?

Mbona kwenye fedha alizonyang'anya kijambazi hujauliza kama kaniibia Mimi?
Achana na bwege hilo, naanza kuhisi anaweza kuwa mchepuko wa Sabaya au shoga la Bashite.
 
Walimbaka baba yako kenge mkubwa wewe!! Ina maana hukusikia vitendo vya Sabaya walivyo mlalamikia?

Mbona kwenye fedha alizonyang'anya kijambazi hujauliza kama kaniibia Mimi?
Nilidhani umetendwa wewe kumbe na wewe unasikia tu, pole sana!
Sio kila unalosikia lina ukweli
 
Hujui kitu kijana kwa vile uelewa wako ni kutokana na habari za magazetini tuu.
Unadhani US ni wajinga mpaka kumzuia asiingie kwao kwa vile "anazuia haki ya kuishi wengine"?
Unaelewa maana yake? Na hayo yalitokea baba yenu Magu akiwepo why alikaa kimya? Nyamaza apelekwe mahakamani ndio mbivu na mbichi utazijua.
Sina shaka nilipokuambia unazeeka vibaya. Umeshindwa kutaja makosa ya Makonda unadai sababu 'USA walisema"
Hao USA waliwahi sema Sadam Hussein anamiliki silaha za maangamizi je ilikuwa ni kweli? Sio hilo tu, ni mengi huwa wanafanya kwa interest zao.
 
Hawamuwezi ni mjanja sn
Believe you me it is a matter of time you can't step on people toes deliberately and with contempt and your let to walk Scot free. Binadamu wana akili nyingi sana hawatakubali.
 
Believe you me it is a matter of time you can't step on people toes deliberately and with contempt and your let to walk Scot free. Binadamu wana akili nyingi sana hawatakubali.
Ngoja tuone lakini usishangae akateuliwa kuwa hata Balozi
 
Karma kabla ajaondoka duniani ni lzm atalipa uovu wake
 
Makonda ndiye mhalifu pekee aliyetajwa na Serikali ya US kuwa alikuwa akiwanyima watu haki ya kuishi.

Nakubaliana na mleta mada, ukilinganisha uovu wa Makonda na Sabaya, Sabaya ataonekana ni malaika.

Haki itendeke. Sabaya ni jambazi la kutumia silaha, Makonda aliwanyima watu haki ya kuishi (aliondoa uhai wa watu)
Kwa hiyo wewe ni mmojawapo wa mashoga mliokosa haki yenu kuuza marinda?
 
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Mkuu ni kweli kabisa, la Ben Sanane lina ukweli mtupu, sasa ni wakati wa kujua ukweli ili japo familia wajue ukweli wa mwanao.
Huyu jamaa ni zaidi ya shetani na ndio maana fedha za kupora zilimfanya kuwa na kiburi kikuu.
 
Back
Top Bottom