Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Uhuni unauleta wewe kijana! Kutenda mema kadhaa hakumpi mtu ruhusa ya kufanya mambo ya kishenzi kama aliyokuwa anafanya Makonda na Sabaya tena hadharani.Vp mkuu? Mbona umeshtuka km umekalia kitu chenye ncha Kali? Au ndio mkuki kwa nguruwe?
Unaamini Sabaya na Makonda hakuna mema waliyoytenda so hawastahili kukumbukwa? Au mtu ukimchukia wewe basi wote tunapaswa kumchukia?
Acha uhuni!
Hao ni vijana washenzi na hawastahili kuishi na binadamu wastaarabu.