Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Paul makonda ni gaidi..alimpiga marisasi lissu aisaee...huyu dogo na roho mbaya saana kwa kweli

Watoto wa Jiwe walijua baba yao hatakufa..kafaaa na watanzania tuliomba sana corona ifanye yake....ikatenda...
Pale ndio corona ilitenda haki!
 
Wavunja nchi ni wananchi..., Yaani huku tunalalamikia madaraka ya Rais kuvuka mipaka, wakati ule ule tunaomba / tunataka aendelee kuleta mambo ya ki-ufalme

Tuchague moja.... Kama vipi tuachane na haya mambo ya mihimili
 
Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.

Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji

Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Zaidi ya hatari see, ila alilindwa na mtu mmoja mnene sana.
 
Wavunja nchi ni wananchi..., Yaani huku tunalalamikia madaraka ya Rais kuvuka mipaka, wakati ule ule tunaomba / tunataka aendelee kuleta mambo ya ki-ufalme

Tuchague moja.... Kama vipi tuachane na haya mambo ya mihimili
Suala la kumshtaki Makonda liko ndani ya mhimili wa Rais kupitia ofisi ya DPP. Ila kusema Makonda ana hatia au hana hatia ndiyo liko mhimili wa Mahakama
 
Waganga ndio waliomshauri upumbavu Ili wale pesa zake na hawana uwezo wa kumuokoa.
Waganga wangekuwa na uwezo wangemfufua kwanza Magufuli maana walikuwa ni sehemu ya maisha yake
Hana lolote wakati bado haujafika wakulipa aliyoyafanya
Makonda hawezi kukwepa kunywea kikombe anachonywea Sabaya, ni suala la muda tu
 
Kipindi hicho, hizi ni kumbukumbu mujarabu
1643530040661.jpg
 
Waganga wangekuwa na uwezo wangemfufua kwanza Magufuli maana walikuwa ni sehemu ya maisha yake

Wale wa Simiyu sijui walifia wapi na mkwara wao
Makonda hawezi kukwepa kunywea kikombe anachonywea Sabaya, ni suala la muda tu
Kabla ajaondoka duniani ni lzm alipwe hesabu zake
 
Karma ipo hapa hapa Mkuu yule sniper aliemtishia bastola Nape alikingiwa kifua ona sasa kapata stahiki yake maana kama polisi wangemchukulia hatua wangeweza kunusuru mauaji ya mfanyabiashara wa madini kitendo cha kumuacha huru inaonekana amefanya madudu mengi sana na Mnyaazi Mungu amewaumbua wauaji na wanaowalinda wauaji wote..
 
Wakuu Kwema!

Kuomba msamaha ni ushujaa, msamaha ni neno la kijeshi katika mapambano.
Unapomkosea mtu akawa na uchungu na wewe basi jua kuwa ipo siku yako, Kama sio wewe basi moja ya kizazi chako.

Upepo unavuma, wenye macho haya tuliyaona miaka mitatu minne iliyopita, tuliandika na kuonya hasa Wale waliojitia Wana nguvu ambazo kimsingi hawana,
Nilishawahi kuandika na Leo narudia, ukipewa Cheo chochote iwe ni Urais,Uwaziri, u-IGP au Cheo chochote kile usije ukadhani wewe ni Mkubwa, huna ukubwa wowote, huna lolote,
Siku zote mkubwa ni yule atendaye haki, apendaye maagizo ya Mungu, mwenye upendo, asiye na fitna na hila, asiyeua wala kumwaga damu za watu wasio na hatia.

Vile unavyotumia nguvu kuonea watu, na kuwatesa watu hasa wasio na hatia ndivyo hivyo hivyo Mungu atatumia nguvu kukuonea na kukutesa.
Vile watoto wa watu ulivyowaua na kuwaangamiza wanavyoteseka, ndivyo hivyo hivyo watoto wako na kizazi chako kitakavyo Tessa na MUNGU.

Kila siku nasema Mungu ni mwaminifu, ana Haki. Huwezi Tesa watu alafu ati uishi Kwa Raha, haijawahi tokea na kamwe haitatokea. Ni suala la muda tuu.

Mungu hajakupa Cheo ili utese watu, Ili uwadhulumu watu, ili uwavuruge watu wake.


Kaka yangu, Kama utanisikia naomba uzingatia haya, tafuta uliowakosea Kama wapo, uwaombe Radhi, Watafute Kwa muda wako,
Usiende kuomba Mungu msamaha, huko unaenda kupoteza muda wako, Mungu haombwagi Msamaha,

Upepo unavuma, bendera uelekeo unaenda mashariki.

Kaka yangu ni Bora Mungu akulipe wewe kwani wewe ndiye uliyekosea kuliko kukuacha wewe na kuhamishia kipigo kwenye kizazi chako.

Baba alichelewa kujihami, alikurupuka kukiwa kumekucha, akakesha akiomba, akataja majina matamu ya Mungu Mkuu lakini hiyo haikumsaidia. Na nadiriki kusema, watoto walioachwa na Baba, mke na wajukuu wanapaswa waombe toba ya kweli kwani vita ya Mungu haimalizwi na kaburi. Vita ya Mungu haimalizwi na mauti, vita vya kibinadamu ndio halimalizwa na kifo.

Kaka yangu.
Bado hujachelewa. Tafuta uliowakosea uwaombe Radhi kuanzia mwakani 2022 mpaka 2025 utakuwa katika vita mbaya na Mungu Mkuu.

Nimekuambia mapema ili ujihami Kwa kuomba Msamaha Kwa uliowakosea ili Mungu aghairi.
Vinginevyo Mungu atakuwa mwaminifu kwako Kwa 100% kukutesa Kama ulivyofanya.

Mimi mdogo wako;

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Morogoro

Nasisitiza
 
Back
Top Bottom