Haki itatendekaYa Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Weka ushahidi ulioshiba we kahaba.Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Baada ya hyo show ya kuvamia nakumbuka jamaaa alijutiaaa sanaa alikimbilia S.A kwa cku kadhaa....Wanahabari Mawakili wetu wasomi kwa pamoja na chama cha wanahabari wafungue kesi juu ya PAUL MAKONDA KWA KUVAMIA STUDIO ZA CLOUDS FM NA SILAHA ZA MOTO NA WENZAKE NA KUPORA VITENDEA KAZI vya wanabari hao shtaka lipo wazi mashahidi zikiwemo CCTV camera zipo hakuna kuwaweka kiporo mpaka wajue madaraka ni DHAMANI
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Makonda ni joka la mdimu.Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Ningekufundisha kistaarabu usingeelewa ndio maana nimetumia maneno makali ili uwe na hasira ya kuelewa tofauti ya utetezi wa kawaida na mitigation ambayo ni nafasi unayopewa na mahakama baada ya kutiwa hatiani na huwa haibadilishi kutiwa hatiani bali inaweza kushawishi kidogo huruma ya mahakama kugunguza hukumu (kama kosa uliloshtakiwa nalo lina option za hukumu) maana umeongea kitu ambacho hakikuwa sehemu ya kesi lakini kinaishawishi mahakama kukuonea huruma, kama hali ugonjwa wako au wategemezi wako, idadi ya wategemezi uliyonayo, majukumu uliyonayo n.k hilo ni suala la kawaida kabisa na ndio lilivyo.Kuliko kuanza matusi ungeniambia tu kistaarabu. Lkn pia ungeniambia neno mitigation kwa kiswahili.
Hakuna haja ya mihemuko na kuchuma dhambi na kuharibu reputation yako kwa mijitusi.
Mwisho diffence ndio kitu gani?
Ustaarabu una reflect makuzi na aina ya wazazi.
Watoto wa Malaya hupenda sana matusi na kubeza.
Hili swali nami huwa najiuliza sana. Hadi nahis jamaa hana wahanga wa kweli. Ifike mahali watu waache kutegemea watu kupata na kutoa haki. Wahanga wa makonda kama ni kweli bas wamemnyima haki makonda bila sababu za msingi. I LIKE MEXICO!Kweli Tanzania ni nchi ya amani!!Yaani kwa maumivu yale ya teka teka watu!Bado Makonda hajapigwa wala kujeruhiwa na kina MO,ROMA MKATOLIKI,WAHANGA WA KUTAJWA KWENYE MADAWA YA KULEVYA!!NA N.K???MI NILIDHANI HADI SASA MAKONDA ANGEKUA KABURINI!!!!
Hakufanya kwa maslah binafs kama huyu mwngne
Kwani hujui kuna watu wanampenda shetani na huku wakijua ni mwovu ...bro siwez penda unachopenda wewe na huwez penda ninachopenda ...
Now you are talking.Ningekufundisha kistaarabu usingeelewa ndio maana nimetumia maneno makali ili uwe na hasira ya kuelewa tofauti ya utetezi wa kawaida na mitigation ambayo ni nafasi unayopewa na mahakama baada ya kutiwa hatiani na huwa haibadilishi kutiwa hatiani bali inaweza kushawishi kidogo huruma ya mahakama kugunguza hukumu (kama kosa uliloshtakiwa nalo lina option za hukumu) maana umeongea kitu ambacho hakikuwa sehemu ya kesi lakini kinaishawishi mahakama kukuonea huruma, kama hali ugonjwa wako au wategemezi wako, idadi ya wategemezi uliyonayo, majukumu uliyonayo n.k hilo ni suala la kawaida kabisa na ndio lilivyo.
Hiyo ni haki muhimu sana kwa mtuhumiwa na muamuzi yoyote anatakiwa ampe mshtakiwa na pale mshitakiwa anashindwa kufanya hivyo ama kwa kupagawa na kutiwa hatiani, au kutokujua nini cha kuongea hakimu anatakiwa amuongoze hata kwa leading questions na hiyo ndio huitwa allocutus
🙏🙏🙏Now you are talking.
Ustaarabu Ni kitu Cha bure ninachoweza kupandisha kiuchumi, kijamii, kisiasa, nk
DAB hana ulinzi hivyo ni muda sahihi wa retaliation!!! Kwake or to his relativesJe utashi wa kumfungulia mashtaka upo?
Aliomba msamahaUvccm wana viongozi bado Yule Mwenyekiti wà UVCCM ndugu yake mwendazake aliyetangaza kuwauwa Wapinzani
Msamaha wa 'kinafiki,' nia yake ilizidi neno OVU.Aliomba msamaha
Dooh!Ya Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Katukumbusha ule usemi wa wahenga 'malipo in hapahapa duniani"Yote yaliyotokea Mungu kaonyesha uKuu wake
Labda angekuwepo Ruge, ila huyu Kusaga ni Mnafiki sana..Clouds ndiyo inabidi wakafungue kesi, sijui Kwa nini Hadi Leo wanashangaa shangaa
Unaushahidi ukiitwa mahakamani utatoa au chuki zako tu binafsYa Sabaya tumeyaona, lakini uovu wa Sabaya ni kama 5% tu kwa uovu aliofanya Paul Makonda au Daudi Bashite.
Inadaiwa Makonda anahusika moja kwa moja na matukio yafuatayo;
1. Kuuawa kwa Ben Saanane
2. Kushambuliwa Tundu Lissu
3. Kuuawa kwa Akwilina
4. Kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wafanyabiashara kama GSM, NAS, GBP, Yusuf Manji
5. Kuvamia kituo cha radio/TV cha Clouds
6. Kumteka Roma Mkatoliki
7. Kumteka Mo Dewji
Kama Paul Makonda hatachukuliwa hatua za kisheria, basi itakuwa ni DOUBLE STANDARDS
Yani nyie watu ni wapuiz Sana clauds wenyewe wako kimya nyie kina Nani?Wanahabari Mawakili wetu wasomi kwa pamoja na chama cha wanahabari wafungue kesi juu ya PAUL MAKONDA KWA KUVAMIA STUDIO ZA CLOUDS FM NA SILAHA ZA MOTO NA WENZAKE NA KUPORA VITENDEA KAZI vya wanabari hao shtaka lipo wazi mashahidi zikiwemo CCTV camera zipo hakuna kuwaweka kiporo mpaka wajue madaraka ni DHAMANI
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app