Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!
Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza kila kimoja kinataka kwenda kutafunwa!
Wake zetu wakiamua kufunguka wanavyosumbuliwa maofisini ni balaa tupu hamtaamini!
Hapa hapa bongo kuna watu wameshachakaza ofisini na hata wale wanaokwenda DOM, wakienda kwenye vikao dodoma jioni ikifika wanakamatia wawil wawili Egonga cha mtoto!
Kwanza huwa sioni sababu kwa nini mameneja ofisi zao zimefungwa kama chumba, yaani kuna bafu na choo humo na makochi!
Kama hawa ni watumishi kwanini ofisi za mameneja na mabosi milango ikawa ya vioo transparent au partition iwe ya vioo! Tuwafungia ili kuficha kitu gani? Maana mazingira ya Rushwa yanazalishwa na mazingira ya ofisi!
Mke wa mtu anaongeaje na mme wa mtu wamejifungia ofisini kuongea?
Ukiachilia vishawishi vya ngono hata usalama tu si sawa lolote linaweza kutokea hata kupuliziana madawa au kuuwana na wafanyakazi wengine wasishituke