- Thread starter
- #41
Na wanakulana kweli egonga cha mtoto! Ndiyo maana speed ya ndoa kuvunjika iko kwenye pro max...we only die once...wacha watu wakulane!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wanakulana kweli egonga cha mtoto! Ndiyo maana speed ya ndoa kuvunjika iko kwenye pro max...we only die once...wacha watu wakulane!
Huyo Bartasar kapaishwa viral kutokana na wivu wa kiume wa kijamii, hakuna kingine.Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!
Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza kila kimoja kinataka kwenda kutafunwa!
Wake zetu wakiamua kufunguka wanavyosumbuliwa maofisini ni balaa tupu hamtaamini!
Hapa hapa bongo kuna watu wameshachakaza ofisini na hata wale wanaokwenda DOM, wakienda kwenye vikao dodoma jioni ikifika wanakamatia wawil wawili Egonga cha mtoto!
Kwanza huwa sioni sababu kwa nini mameneja ofisi zao zimefungwa kama chumba, yaani kuna bafu na choo humo na makochi!
Kama hawa ni watumishi kwanini ofisi za mameneja na mabosi milango ikawa ya vioo transparent au partition iwe ya vioo! Tuwafungia ili kuficha kitu gani? Maana mazingira ya Rushwa yanazalishwa na mazingira ya ofisi!
Mke wa mtu anaongeaje na mme wa mtu wamejifungia ofisini kuongea?
Ukiachilia vishawishi vya ngono hata usalama tu si sawa lolote linaweza kutokea hata kupuliziana madawa au kuuwana na wafanyakazi wengine wasishituke
Tuyaache ndugu yangu mambo yakibumbuluka huko maofisini ni aibu kuna watu tunawaaheshimu lakini mambo wanayofanya huko maofisini ni kufuru! Yaani kufuru!Huyo Bartasar kapaishwa viral na wivu wa kiume wa kijamii, hakuna kingine.
Wanaume hupenda kulaani midomoni mwao matendo wanayoyapenda wao kuyafanya!
Hasa jambo ambalo yeye hulifanya sirini akijiona mjanja, likifanywa na mwingine tena hadharani kwa kufuru, lazima limuume na kujikuta akilaani.
Mi mwnyewe ni mashahidi wa haya niongeayo.:
Nilipokuwa kwenye baraza la usuluhishi, likaletwa suala la fumanizi ama ugoni, nilitumia nguvu kubwa kumshawishi mtuhumiwa ili akubali tuhuma na aeleze ukweli wa namna alivyofanya.
Hiyo kwangu ilikuwa ni starehe katika kuishindanisha nafsi yangu kwa matendo yangu na matendo ya huyo jamaa.
Akikubali kukiri, nitamng'ang'aniza ataje hadi idadi ya magoli aliyofunga kudadeki.
Akitaja kunizidi mambo yangu, nilijikuta nikipandisha wivu na chuki kwa kunyang'anywa ubingwa!
Nikipanndisha hasira, kwa anayenitazama atajua mwanamaadili nimekerwa sana na maelezo ya matendo ya huyo mhuni, kumbe mimi nimekerwa na kuzidiwa kete kwa idadi ya ufungaji wake wa magoli kunizidi na kunifanya niwe dhaifu kwake.
Kwa sakata hili, wahuni wote wamedhalilishwa kwa ufanisi wa performance ya jamaa katika video.
Kila anayezitazama clips zile anakataa, anasema 'hapana, jamaa hawezikata mauno namna hiyo, 'AI' imechakachua uhalisia wa ufanisi' hawakubaliani kabisa!
Sasa wadhani ubishi na kushangaa shangaa huko kunatokana na nini, wivu.
Nyie oeni sisi tuwa egonga wake zenu maofisiniYaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!
Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza kila kimoja kinataka kwenda kutafunwa!
Wake zetu wakiamua kufunguka wanavyosumbuliwa maofisini ni balaa tupu hamtaamini!
Hapa hapa bongo kuna watu wameshachakaza ofisini na hata wale wanaokwenda DOM, wakienda kwenye vikao dodoma jioni ikifika wanakamatia wawil wawili Egonga cha mtoto!
Kwanza huwa sioni sababu kwa nini mameneja ofisi zao zimefungwa kama chumba, yaani kuna bafu na choo humo na makochi!
Kama hawa ni watumishi kwanini ofisi za mameneja na mabosi milango ikawa ya vioo transparent au partition iwe ya vioo! Tuwafungia ili kuficha kitu gani? Maana mazingira ya Rushwa yanazalishwa na mazingira ya ofisi!
Mke wa mtu anaongeaje na mme wa mtu wamejifungia ofisini kuongea?
Ukiachilia vishawishi vya ngono hata usalama tu si sawa lolote linaweza kutokea hata kupuliziana madawa au kuuwana na wafanyakazi wengine wasishituke
Halafu wengi hawavai chupiYaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!
Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!
Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza kila kimoja kinataka kwenda kutafunwa!
Wake zetu wakiamua kufunguka wanavyosumbuliwa maofisini ni balaa tupu hamtaamini!
Hapa hapa bongo kuna watu wameshachakaza ofisini na hata wale wanaokwenda DOM, wakienda kwenye vikao dodoma jioni ikifika wanakamatia wawil wawili Egonga cha mtoto!
Kwanza huwa sioni sababu kwa nini mameneja ofisi zao zimefungwa kama chumba, yaani kuna bafu na choo humo na makochi!
Kama hawa ni watumishi kwanini ofisi za mameneja na mabosi milango ikawa ya vioo transparent au partition iwe ya vioo! Tuwafungia ili kuficha kitu gani? Maana mazingira ya Rushwa yanazalishwa na mazingira ya ofisi!
Mke wa mtu anaongeaje na mme wa mtu wamejifungia ofisini kuongea?
Ukiachilia vishawishi vya ngono hata usalama tu si sawa lolote linaweza kutokea hata kupuliziana madawa au kuuwana na wafanyakazi wengine wasishituke
Mwamba kapigwa mchana kweupe 😅
Wanavaa vile vchupi kama barakoa ...sasa ukibinua kigauni unasogeza tu! ...nashauri tu huko maofisin partion ziwe za vioo!Halafu wengi hawavai chupi
Sasa hapo bado hujagusia magari ya serikali ya tinted ni balaa na nusu! Ni mwendo wa iyena iyenaMwamba kapigwa mchana kweupe 😅
Maadili ya kistaarabu mwananmke asitoke kutafta chakula; akitoka tu huwa lazima akalizue balaa ...ni wachache sana wanaojiheshimu maofisini, na watu hao wanaume huwa tunaambizana kabisa yule dada flani na flani anajiheshimu ...lakini kile pale chupi mkonononiMaadli yake yapo chini Sana .
Sure. Halafu watu wa West Afrika ni kama Wazungu. Huwa hawazugi kujipatia kile wanachopenda.jamaa ni light skin dude ana bunduki kubwa yawezakana wale wanawake waliambizana. wajaribu waone ladha yake
Kumbe ulitafuta na hukutafuna!Mm pia nisha wai kutafuta staff ofcn
Kuna kipindi fulani tulikutana kwenye semina fulani zaidi ya mwezi yani wake za watu walikua wanaliwa kama karanga 😂Sasa hapo bado hujagusia magari ya serikali ya tinted ni balaa na nusu! Ni mwendo wa iyena iyena
Yeah, huwa tunaambizana kabisa, kile kimke cha dmkali kile chupi mkononi yaani ukifungua mdomo unakuwa kama ulichelewa!huwa tunaambizana kabisa yule dada flani na flani anajiheshimu ...lakini kile pale chupi mkonononi
Na nyie mabinti mbona tuliwala sana kipindi hicho?Kuna kipindi fulani tulikutana kwenye semina fulani zaidi ya mwezi yani wake za watu walikua wanaliwa kama karanga 😂