Aliyoyafanya Egonga yapo duniani kote sema ni siri tu! Ila watu wengi sana wanatafunana maofisini kimya kimya

Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!

Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!

Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza kila kimoja kinataka kwenda kutafunwa!

Wake zetu wakiamua kufunguka wanavyosumbuliwa maofisini ni balaa tupu hamtaamini!

Hapa hapa bongo kuna watu wameshachakaza ofisini na hata wale wanaokwenda DOM, wakienda kwenye vikao dodoma jioni ikifika wanakamatia wawil wawili Egonga cha mtoto!

Kwanza huwa sioni sababu kwa nini mameneja ofisi zao zimefungwa kama chumba, yaani kuna bafu na choo humo na makochi!

Kama hawa ni watumishi kwanini ofisi za mameneja na mabosi milango ikawa ya vioo transparent au partition iwe ya vioo! Tuwafungia ili kuficha kitu gani? Maana mazingira ya Rushwa yanazalishwa na mazingira ya ofisi!

Mke wa mtu anaongeaje na mme wa mtu wamejifungia ofisini kuongea?

Ukiachilia vishawishi vya ngono hata usalama tu si sawa lolote linaweza kutokea hata kupuliziana madawa au kuuwana na wafanyakazi wengine wasishituke
Huyo Bartasar kapaishwa viral kutokana na wivu wa kiume wa kijamii, hakuna kingine.

Wanaume hupenda kulaani midomoni mwao matendo wanayoyapenda wao kuyafanya kwa siri!

Hasa jambo ambalo yeye hulifanya sirini akijiona mjanja, likifanywa na mwingine tena hadharani kwa kufuru, lazima limuume na kujikuta akilaani.

Mi mwnyewe ni mashahidi wa haya niongeayo.:
Nilipokuwa kwenye baraza la usuluhishi, likaletwa suala la fumanizi ama ugoni, nilitumia nguvu kubwa kumshawishi mtuhumiwa ili akubali tuhuma na aeleze ukweli wa namna alivyofanya, ili tuyaweke sawa yaishe.

Hiyo kwangu ilikuwa ni starehe katika kuishindanisha nafsi yangu kwa matendo yangu ya siri na matendo ya huyo jamaa.

Akikubali kukiri, nitamng'ang'aniza ataje hadi idadi ya magoli aliyofunga kudadeki.

Akitaja kunizidi mambo yangu, nilijikuta napoa ghafla, nakosa amani, kisha najikuta nikipandisha wivu na chuki kwa kunyang'anywa ubingwa!

Nikipanndisha hasira, kwa anayenitazama atajua mwanamaadili nimekerwa sana na maelezo ya matendo ya huyo mhuni, kumbe mimi nimekerwa na kuzidiwa kete kwa idadi ya ufungaji wake wa magoli na kunifanya niwe dhaifu kwake.

Kwa sakata hili, wahuni wote wamedhalilishwa kwa ufanisi wa performance ya jamaa katika video.

Kila anayezitazama clips zile anakataa, anasema 'hapana, jamaa hawezikata mauno namna hiyo, 'AI' imechakachua uhalisia wa ufanisi' hawakubaliani kabisa!

Sasa wadhani ubishi na kushangaa shangaa huko kunatokana na nini, wivu.
 
Huyo Bartasar kapaishwa viral na wivu wa kiume wa kijamii, hakuna kingine.

Wanaume hupenda kulaani midomoni mwao matendo wanayoyapenda wao kuyafanya!

Hasa jambo ambalo yeye hulifanya sirini akijiona mjanja, likifanywa na mwingine tena hadharani kwa kufuru, lazima limuume na kujikuta akilaani.

Mi mwnyewe ni mashahidi wa haya niongeayo.:
Nilipokuwa kwenye baraza la usuluhishi, likaletwa suala la fumanizi ama ugoni, nilitumia nguvu kubwa kumshawishi mtuhumiwa ili akubali tuhuma na aeleze ukweli wa namna alivyofanya.

Hiyo kwangu ilikuwa ni starehe katika kuishindanisha nafsi yangu kwa matendo yangu na matendo ya huyo jamaa.

Akikubali kukiri, nitamng'ang'aniza ataje hadi idadi ya magoli aliyofunga kudadeki.

Akitaja kunizidi mambo yangu, nilijikuta nikipandisha wivu na chuki kwa kunyang'anywa ubingwa!

Nikipanndisha hasira, kwa anayenitazama atajua mwanamaadili nimekerwa sana na maelezo ya matendo ya huyo mhuni, kumbe mimi nimekerwa na kuzidiwa kete kwa idadi ya ufungaji wake wa magoli kunizidi na kunifanya niwe dhaifu kwake.

Kwa sakata hili, wahuni wote wamedhalilishwa kwa ufanisi wa performance ya jamaa katika video.

Kila anayezitazama clips zile anakataa, anasema 'hapana, jamaa hawezikata mauno namna hiyo, 'AI' imechakachua uhalisia wa ufanisi' hawakubaliani kabisa!

Sasa wadhani ubishi na kushangaa shangaa huko kunatokana na nini, wivu.
Tuyaache ndugu yangu mambo yakibumbuluka huko maofisini ni aibu kuna watu tunawaaheshimu lakini mambo wanayofanya huko maofisini ni kufuru! Yaani kufuru!
 
Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!

Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!

Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza kila kimoja kinataka kwenda kutafunwa!

Wake zetu wakiamua kufunguka wanavyosumbuliwa maofisini ni balaa tupu hamtaamini!

Hapa hapa bongo kuna watu wameshachakaza ofisini na hata wale wanaokwenda DOM, wakienda kwenye vikao dodoma jioni ikifika wanakamatia wawil wawili Egonga cha mtoto!

Kwanza huwa sioni sababu kwa nini mameneja ofisi zao zimefungwa kama chumba, yaani kuna bafu na choo humo na makochi!

Kama hawa ni watumishi kwanini ofisi za mameneja na mabosi milango ikawa ya vioo transparent au partition iwe ya vioo! Tuwafungia ili kuficha kitu gani? Maana mazingira ya Rushwa yanazalishwa na mazingira ya ofisi!

Mke wa mtu anaongeaje na mme wa mtu wamejifungia ofisini kuongea?

Ukiachilia vishawishi vya ngono hata usalama tu si sawa lolote linaweza kutokea hata kupuliziana madawa au kuuwana na wafanyakazi wengine wasishituke
Nyie oeni sisi tuwa egonga wake zenu maofisini

Hamjasema bado mpk mseme 😀
 
Mkuu dunia ilikofikia Uzinzi ni jambo la kawaida kabisa!Kila nchi kila mahali. Ni watu wachache sana duniani ambao bado wanahofu na Mungu.
Uzinzi maofisini,migodini,nyumba za Ibada,kwenye familia,baani,uchochoroni,nk ni kawaida.
 
Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya!

Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe!

Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza kila kimoja kinataka kwenda kutafunwa!

Wake zetu wakiamua kufunguka wanavyosumbuliwa maofisini ni balaa tupu hamtaamini!

Hapa hapa bongo kuna watu wameshachakaza ofisini na hata wale wanaokwenda DOM, wakienda kwenye vikao dodoma jioni ikifika wanakamatia wawil wawili Egonga cha mtoto!

Kwanza huwa sioni sababu kwa nini mameneja ofisi zao zimefungwa kama chumba, yaani kuna bafu na choo humo na makochi!

Kama hawa ni watumishi kwanini ofisi za mameneja na mabosi milango ikawa ya vioo transparent au partition iwe ya vioo! Tuwafungia ili kuficha kitu gani? Maana mazingira ya Rushwa yanazalishwa na mazingira ya ofisi!

Mke wa mtu anaongeaje na mme wa mtu wamejifungia ofisini kuongea?

Ukiachilia vishawishi vya ngono hata usalama tu si sawa lolote linaweza kutokea hata kupuliziana madawa au kuuwana na wafanyakazi wengine wasishituke
Halafu wengi hawavai chupi
 
Back
Top Bottom