Kuhabarisha kuna shida gani? You need to know the world around you! hajakosea kwa loloteAcha unazi na mambo ya watu, deal na tozo zako
Acha unazi na mambo ya watu, deal na tozo zako
Kuhabarisha kuna shida gani? You need to know the world around you! hajakosea kwa lolote
hilo litakuwa CCMNi kawaida kwa mamburula kutokujua kuwa hawajui.
Magenge yao aliyaona Ulimwengu kitambo. Ni mzigo.hilo litakuwa CCM
Ruto ni bepari pure kabisa.. Hana ujamaa na sera ya bepari ni kupokea sio kutoa
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Wewe ya Kenya yanakuhusu nini? Wakenya weyewe ndio wamemtaka. Kafie na mambo yenu huko ufipa
Maccm ni majinga Sana!Wewe ya Kenya yanakuhusu nini? Wakenya weyewe ndio wamemtaka. Kafie na mambo yenu huko ufipa
Ramli zimeanzaBosi wa Ruto na wa Mtawala wetu ni 1, yanayotokea TZ yatatokea Kenya pia, Ruto hajashinda Uchaguzi bali amewekwa pale na nwo, anakwenda kufwata nwo agenda 2030 kama vile kwetu ambayo moja ya melengo makuu ni depopulation of Afrika, imeshaanza kwetu Kenya is next.
Ruto hajashinda Uchaguzi bali kawekwa na nwo kumaliza Waafrika kwa njaa za makusudi, magonjwa ya maabara na infertility of men.
Utasikia tozo zinaanza n.k. na wao pia wataletewa Mwigulu wao wa kumlaumu na kumuangushia zigo lote wakati ukweli ni kwamba Mwigulu haamui chochote nchi hii, wote wananamtumikia Bwana mmoja!
Ruto ni mbaya kuliko Magufuli na ni rafiki sana wa Museveni. Nyang’au watalimia Meno. Ni katili kuliko shetani Magufuli. Kuanzia next week Kenya mafuta shs 5000 ya kitanzania kwa lita moja.
Akili zetu bwana tunazijua wenyeweBosi wa Ruto na wa Mtawala wetu ni 1, yanayotokea TZ yatatokea Kenya pia, Ruto hajashinda Uchaguzi bali amewekwa pale na nwo, anakwenda kufwata nwo agenda 2030 kama vile kwetu ambayo moja ya melengo makuu ni depopulation of Afrika, imeshaanza kwetu Kenya is next.
Ruto hajashinda Uchaguzi bali kawekwa na nwo kumaliza Waafrika kwa njaa za makusudi, magonjwa ya maabara na infertility of men.
Utasikia tozo zinaanza n.k. na wao pia wataletewa Mwigulu wao wa kumlaumu na kumuangushia zigo lote wakati ukweli ni kwamba Mwigulu haamui chochote nchi hii, wote wananamtumikia Bwana mmoja!