Aliyoyasema Kenyatta juu ya Ruto tayari yanafukuta

Aliyoyasema Kenyatta juu ya Ruto tayari yanafukuta

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Alisema Uhuru, huyu anayejiita Hustler na apewe kama miezi mitatu tu, mambo atayakoroga.

IMG_20220915_064126_720.jpg

Huyu bwana aliahidi mbingu huko Kenya lakini tayari kwa mwendo huu kumekucha:

1. Ruto anaondoa ruzuku kwenye mafuta ya magari.

"Petrol, Diesel na mafuta ya taa kupaa hadi juu ya 200 Ksh @ lita."

Zingatia 1 Ksh ni takribani 20 Tsh.

IMG_20220915_064215_046.jpg

2. Ya pesa za watu benki ki mwendazake mwendazake nayo yanawanyemelea:

Uhuru era traders face billions in tax demand after KRA expose'

Na bado!

Ni suala la muda tu.
 
Bosi wa Ruto na wa Mtawala wetu ni 1, yanayotokea TZ yatatokea Kenya pia, Ruto hajashinda Uchaguzi bali amewekwa pale na nwo, anakwenda kufwata nwo agenda 2030 kama vile kwetu ambapo moja ya malengo makuu ni depopulation of Afrika, imeshaanza kwetu Kenya is next.

Ruto hajashinda Uchaguzi bali kawekwa na nwo kumaliza Waafrika kwa njaa za makusudi, magonjwa ya maabara na infertility of men.

Utasikia tozo zinaanza n.k. na wao pia wataletewa Mwigulu wao wa kumlaumu na kumuangushia zigo lote wakati ukweli ni kwamba Mwigulu haamui chochote nchi hii, wote wananamtumikia Bwana mmoja!
 
Bosi wa Ruto na wa Mtawala wetu ni 1, yanayotokea TZ yatatokea Kenya pia, Ruto hajashinda Uchaguzi bali amewekwa pale na nwo, anakwenda kufwata nwo agenda 2030 kama vile kwetu ambayo moja ya melengo makuu ni depopulation of Afrika, imeshaanza kwetu Kenya is next.

Ramli zimeanza
 
Sasa mtu anakwambia anataka chama chake kiwe Kama CCM?
Sasa chama kimejaa vibaka na wewe unakichukulia Kama Cha mfano!!yaani chama ambacho watanzania wanakilaani yeye anataka kurithi mfumo wake.Alafu na yule Makamu wake anaonekana chenga tu!
 
Ruto ni mbaya kuliko Magufuli na ni rafiki sana wa Museveni. Nyang’au watalimia Meno. Ni katili kuliko shetani Magufuli. Kuanzia next week Kenya mafuta shs 5000 ya kitanzania kwa lita moja.

Wanapoelekea kuzisoma namba.

Wacha tuone kwa maana Kenya wajinga siyo kwetu kwenye magenge ya akina Countrywide waliopendekeza tozo kwa Mwigulu:

IMG_20220914_180443_804.jpg
 
Bosi wa Ruto na wa Mtawala wetu ni 1, yanayotokea TZ yatatokea Kenya pia, Ruto hajashinda Uchaguzi bali amewekwa pale na nwo, anakwenda kufwata nwo agenda 2030 kama vile kwetu ambayo moja ya melengo makuu ni depopulation of Afrika, imeshaanza kwetu Kenya is next.

Ruto hajashinda Uchaguzi bali kawekwa na nwo kumaliza Waafrika kwa njaa za makusudi, magonjwa ya maabara na infertility of men.

Utasikia tozo zinaanza n.k. na wao pia wataletewa Mwigulu wao wa kumlaumu na kumuangushia zigo lote wakati ukweli ni kwamba Mwigulu haamui chochote nchi hii, wote wananamtumikia Bwana mmoja!
Akili zetu bwana tunazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom