Hiki ndio kilikuuma au kuna kingine?
Inaonekana tu humpendi huyu Bwana maana ungekuwa objective ungesema na kuhusu ruziku ya mbolea na mengine mazuri aliyoyafanya.
Hahaha ha boda? Sisi tunafuatilia hadi ya Mars. Hatungoji kuambiwa kwa sababu elimu haina mwisho.Naona hamjakoma, hata baada ya kuangukia pua kwenye dua zenu za kichawi. Mlipokuwa mkitamani sana vita viibuke na damu imwagike wakati wa uchaguzi hivi majuzi. Kabla ya kuvuka boda mngeanza kwanza na kutatua matatizo yanayoikumba nchi yenu.
Endeleeni kufatilia ya Mars wakati ya hapa hapa duniani, kwenu Namtumbo, yamewashinda. Mkimaliza kufatilia ya Kenya kuna mengine yanaibuka kati ya Armenia na Azerbaijan. Baada ya hapo rudini kwa zile zenu pendwa za jezi za Yanga na Simba na uzinzi wa kina Zuchu na Dayamondi. Hiyo ndio raha ya 'maisha' ya maiti zinazopumua.Hahaha ha boda? Sisi tunafuatilia hadi ya Mars. Hatungoji kuambiwa kwa sababu elimu haina mwisho.
Endeleeni kufatilia ya Mars wakati ya hapa hapa duniani, kwenu Namtumbo, yamewashinda. Mkimaliza kufatilia ya Kenya kuna mengine yanaibuka kati ya Armenia na Azerbaijan. Baada ya hapo rudini kwa zile zenu pendwa za jezi za Yanga na Simba na uzinzi wa kina Zuchu na Dayamondi. Hiyo ndio raha ya 'maisha' ya maiti zinazopumua.
Mambo ya Ruzuku ni ujinga tu!Lakini ndugu diesel na nduguze vikishapanda kuna ruzuku gani ita offset nini kwenye gharama za maisha?
Hujui hata tafsiri ya dikteta?
Kamkandamiza nani? na kwa namna gani?
Eti MK254 rais wenu keshawakandamiza tayari?
Mambo ya Ruzuku ni ujinga tu!
Suluhisho la mafuta siyo ruzuku. Ungekuwa objective ungesubiri uone baada ya kufuta Ruzuku kinafuata nini.
Hata mimi ningekuwa rais ningeifuta ruzuku ya mafuta. Sio sustainable solution
Moreover hakuna katika ahadi zake sehemu aliahidi kuweka ruzuku kwenye mafuta
All in all hata huyo Magufuli ambaye unaonekana humpendi pia ndiye ambaye hakuku lock down, na kufanya usilielie njaa. Waulize Wakenya, Waganda na Wanyarwanda maana ya lock down. Utaelewa.
Mwacheni Rais wa Kenya awahudumie watu wake. Sisi nasi tubakie na rais wetu Mhe. Bi Samia.
Tunawaombea mfanikiwe. EA ikifanikiwa maisha yetu kama wananchi wa EA yatakuwa mazuri.Ha ha ha! Jameni tumuombee rais wetu atuongoze vizuri, tusimseme sana hata kabla hajaonyeshwa sebule ya ikulu au chumba chake cha kulala.
Udikteta hawezi akaufanya maana tuna katiba nzuri sana inayotuongoza, ila pia akijikanganya akatumia mabavu atakutana na mziki wetu, sisi Wakenya ni wale wale hatukawii kuliamsha maana tumetoka mbali.
Niliona First Lady mpya akipewa tour hapo State House, ila sidhani atapatana na changamoto kama za Maggie. πHa ha ha! Jameni tumuombee rais wetu atuongoze vizuri, tusimseme sana hata kabla hajaonyeshwa sebule ya ikulu au chumba chake cha kulala.
Udikteta hawezi akaufanya maana tuna katiba nzuri sana inayotuongoza, ila pia akijikanganya akatumia mabavu atakutana na mziki wetu, sisi Wakenya ni wale wale hatukawii kuliamsha maana tumetoka mbali.
Tozo haina maumivu kama fuel ππAcha unazi na mambo ya watu, deal na tozo zako
Tunawaombea mfanikiwe. EA ikifanikiwa maisha yetu kama wananchi wa EA yatakuwa mazuri.
Maumivu upande mmoja wa pili huwa haubaki salama.
Halafu walalamikaji ni Bongolanders!
Hakuna cha makasiriko wala nini jombaa, mimi nakupa tu 'a dose of reality'. Pambaneni kwanza na magenge ya hivyo vijitoto vinavyojiita Panya Road. Ambavyo vinawatesa jijini Dar, kabla ya kuanza kuwapa wakenya mawaidha kuhusu siasa na uongozi.Pole, wewe endelea na makasiriko yako.
Kwetu baharini ndugu. Raha twajipa wenyewe. Raha yetu ipo kwenye kufuatilia mambo kama Waberoya wa zama za Yesu (Matendo 17:11-12), na tunafuatilia kweli kweli.
Habari ndiyo hiyo.
Unaenda mbali kujumlisha nchi nzima kwa sababu ya keyboard warriors wachache. Hakuna Mtanzania ukiacha wale nchi jirani ya Republic of Keyboard Worriors alliyeiombea mabaya Kenya. Kila mtu alitamani uchaguzi uishe kwa amani japo kuna walitaka Ruto ashinde na wengine Raila. Which happened even in Ke and happens everywhere!Naona hamjakoma, hata baada ya kuangukia pua kwenye dua zenu za kichawi. Mlipokuwa mkitamani sana vita viibuke na damu imwagike wakati wa uchaguzi hivi majuzi nchini Kenya.
Hutaki tuburudike tusahau tozo?Acha unazi na mambo ya watu, deal na tozo zako
Hakuna cha makasiriko wala nini jombaa, mimi nakupa tu 'a dose of reality'. Pambaneni kwanza na magenge ya hivyo vijitoto vinavyojiita Panya Road. Ambavyo vinawatesa jijini Dar, kabla ya kuanza kuwapa wakenya mawaidha kuhusu siasa na uongozi.
Huyo Makamu kazi kumsifia Rais tuSasa mtu anakwambia anataka chama chake kiwe Kama CCM?
Sasa chama kimejaa vibaka na wewe unakichukulia Kama Cha mfano!!yaani chama ambacho watanzania wanakilaani yeye anataka kurithi mfumo wake.Alafu na yule Makamu wake anaonekana chenga tu!