- Thread starter
- #41
Hiki ndio kilikuuma au kuna kingine?
Inaonekana tu humpendi huyu Bwana maana ungekuwa objective ungesema na kuhusu ruziku ya mbolea na mengine mazuri aliyoyafanya.
Huyu bwana miye ni mmoja wa waliomshangilia Chebukati kukataa sera za mwendazake.
Lakini ndugu diesel na nduguze vikishapanda kuna ruzuku gani ita offset nini kwenye gharama za maisha?