Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Ila wanaopost kila siku ni chadema hapo utashangaa chadema wanakusanyika huku wanalia maana sababu zao za kususa hakuna mwenye mpango nazoUkweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani kwa gharama yoyoyte ile.
Hata hivyo, hali hii haiondoi ukweli kuwa wao kama binadamu, wanaishi na nafsi zinazowasuta kwa matendo yao maovu ila machoni mwa watu wanajitahidi kupeleka picha tofauti na moja ya ushahidi wa hiki nachosema ni hii nguvu kubwa wanayotumia waonekana wanakubalika mbele za watu na kwamba wana furaha na kinachoendelea.
Kitendo cha CHADEMA kukataa kushirikia katika huu uchaguz, ni pigo kubwa sana kwao na wanona aibu sana katika nafsi zao huku roho zikiwasuta kwani wanajua kuna mamilioni ya watanzania wanaipenda CHADEMA na wamewanyma hiyo nafasi kwa kushindwa kwao kuweka uwanja wenye ushindani sawa na wa haki kwenye uchaguzi.
Mmejiuliza nini kimemfanya huyo mama kusema na kuna vyama vimekimbia uchaguzi?
Jibu ni rahisi: Nafsi inamtesa na anajishitukia sawa na mtu alifanya dhambi ya kuua na akuiwea anaishi kwa hofu na mashaka. Huyo ndio Mama na hali hio ni kwa wenzake wote.
Optiona waliobaki nayo ni kushupaza shingo tu hata mkisema nini lakini ukweli ni kwamba mioyoni mwao nafsi zinawasuta na bilsa shaks hata amani ya moyo hawana japo wanapata kila wanachokitaka.
Kwa kifupi, hawana tofauti na mtu anaeteseka baada ya kudhulumu mali ya mtu tena mtu masikini.
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani kwa gharama yoyoyte ile.
Hata hivyo, hali hii haiondoi ukweli kuwa wao kama binadamu, wanaishi na nafsi zinazowasuta kwa matendo yao maovu ingawa machoni mwa watu wanajitahidi kupeleka picha tofauti na moja ya ushahidi wa hiki nachosema ni hii nguvu kubwa wanayotumia waonekana wanakubalika mbele za watu na kwamba wana furaha na amani katika mioyo yao.
Kitendo cha CHADEMA kukataa kushirikia katika huu uchaguz, ni pigo kubwa sana kwao na wanona aibu sana katika nafsi zao huku roho zikiwasuta kwani wanajua kuna mamilioni ya watanzania wanaipenda CHADEMA na wamewanyma hiyo nafasi kwa kushindwa kwao kuweka uwanja wenye ushindani sawa na wa haki kwenye uchaguzi.
Mmejiuliza nini kimemfanya huyo Mama kusema na kuna vyama vimekimbia uchaguzi? Kuna mtu alimuuliza?
Jibu ni rahisi: Nafsi inamtesa na anajishitukia sawa na mtu alifanya dhambi ya kuua na akuiwea anaishi kwa hofu na mashaka. Huyo ndio Mama na hali hio ni kwa wenzake wote.
Optiona waliobaki nayo ni kushupaza shingo tu hata mkisema nini lakini ukweli ni kwamba mioyoni mwao nafsi zinawasuta na bilsa shaks hata amani ya moyo hawana japo wanapata kila wanachokitaka.
Kwa kifupi, hawana tofauti na mtu anaeteseka baada ya kudhulumu mali ya mtu tena mtu masikini.
Kumepwaya sana. Na hii ndio ilikuwa solution. Hii ni vita vila sirahaInaondoa morali ya watu kupiga kura.
Bora hivyo kuliko kupambana na wanancui na kuwabambikia makesi......huu mtego Chadema wameukwepa kijanja sanaCCM inacheza na kupambana na kivuli chake.
Mambo ya aibu kabisa haya!!
Wewe, Lukas Mwashambwa, tlaahtlaah, chiembe, choice variable nanyi ni CHADEMA?!!!Usijipunguze Akili!Ila wanaopost kila siku ni chadema hapo utashangaa chadema wanakusanyika huku wanalia maana sababu zao za kususa hakuna mwenye mpango nazo
USSR
Kama wanapenda minadani
Ila wanaopost kila siku ni chadema hapo utashangaa chadema wanakusanyika huku wanalia maana sababu zao za kususa hakuna mwenye mpango nazo
USSR
Hivi mama degree ya kwanza alisoma chuo gani. Maana hili nitakwa la sifa ya kugombea urais. Au ni dakta bila first degree?Wewe, Lukas Mwashambwa, tlaahtlaah, chiembe, choice variable nanyi ni CHADEMA?!!!Usijipunguze Akili!
Ng'ombe wa Samia tayari kupelekwa mnadani
We akili yako inawaza ruzuku tu!!!Poleni CDM imekula kwenu hiyo suborini muone baada ya uchaguzi namna mtaishi bila ruzuku ndio mtajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi
Mwendo wa kupelekwa mnadani