GE2025 All in all, kwa CHADEMA kugoma kushiriki huu uchaguzi, kunawatesa na kuwafedhehesha sana CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kweli Leo nimeamini bila CHADEMA uchaguzi haunogi naona mama bado anaitaja CHADEMA badala ya vyama vingine
 
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani kwa gharama yoyoyte ile.

Hata hivyo, hali hii haiondoi ukweli kuwa wao kama binadamu, wanaishi na nafsi zinazowasuta kwa matendo yao maovu ingawa machoni mwa watu wanajitahidi kupeleka picha tofauti na moja ya ushahidi wa hiki nachosema ni hii nguvu kubwa wanayotumia waonekana wanakubalika mbele za watu na kwamba wana furaha na amani katika mioyo yao.

Kitendo cha CHADEMA kukataa kushirikia katika huu uchaguz, ni pigo kubwa sana kwao na wanona aibu sana katika nafsi zao huku roho zikiwasuta kwani wanajua kuna mamilioni ya watanzania wanaipenda CHADEMA na wamewanyma hiyo nafasi kwa kushindwa kwao kuweka uwanja wenye ushindani sawa na wa haki kwenye uchaguzi.

Mmejiuliza nini kimemfanya huyo Mama kusema na kuna vyama vimekimbia uchaguzi? Kuna mtu alimuuliza?

Jibu rahisi: Nafsi inamtesa na anajishitukia sana sawa na mtu alifenya dhambi ya kuua na sasa anaishi kwa hofu na mashaka. Huyo ndio Mama na hali hio ni kwa wenzake wote.

Option waliobaki nayo ni kushupaza shingo tu hata mkisema nini lakini ukweli ni kwamba mioyoni mwao nafsi zinawasuta na bilsa shaka hata amani ya moyo hawana japo wanapata kila wanachokitaka.

Kwa kifupi, hawana tofauti na mtu anaeteseka baada ya kudhulumu mali ya mtu tena mtu masikini.
Kwasababu wanajitekenya na kucheka Wwnyewe
 
Ahahahahaha! CCM inachohitaji ni utawala. Chadema mmebaki na stress na kujiridhisha na maneno kama hayo.
 
LENGO LA CHADEMA NI KUSHIKA NA KUKAMATA DOLA YA JMT.

CHADEMA imeshiriki chaguzi tokea kuanzishwa kwa vyama vingi imejifunza na kutambua mapungu yaliyopo ndio maana zinahitajika reform kabla ya uchaguzi.
 
Fedhea wametaka wenyewe kua na kiburi cha kuona wakifanya reforms wataonekana wanyonge kumbe ndo wamejifedhesha wenyewe
 
Ng'ombe wa Samia tayari kupelekwa mnadaniView attachment 3457626
1756474034042.jpg
 
Una
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani kwa gharama yoyoyte ile.

Hata hivyo, hali hii haiondoi ukweli kuwa wao kama binadamu, wanaishi na nafsi zinazowasuta kwa matendo yao maovu ingawa machoni mwa watu wanajitahidi kupeleka picha tofauti na moja ya ushahidi wa hiki nachosema ni hii nguvu kubwa wanayotumia waonekana wanakubalika mbele za watu na kwamba wana furaha na amani katika mioyo yao.

Kitendo cha CHADEMA kukataa kushirikia katika huu uchaguz, ni pigo kubwa sana kwao na wanona aibu sana katika nafsi zao huku roho zikiwasuta kwani wanajua kuna mamilioni ya watanzania wanaipenda CHADEMA na wamewanyma hiyo nafasi kwa kushindwa kwao kuweka uwanja wenye ushindani sawa na wa haki kwenye uchaguzi.

Mmejiuliza nini kimemfanya huyo Mama kusema na kuna vyama vimekimbia uchaguzi? Kuna mtu alimuuliza?

Jibu rahisi: Nafsi inamtesa na anajishitukia sana sawa na mtu alifenya dhambi ya kuua na sasa anaishi kwa hofu na mashaka. Huyo ndio Mama na hali hio ni kwa wenzake wote.

Option waliobaki nayo ni kushupaza shingo tu hata mkisema nini lakini ukweli ni kwamba mioyoni mwao nafsi zinawasuta na bilsa shaka hata amani ya moyo hawana japo wanapata kila wanachokitaka.

Kwa kifupi, hawana tofauti na mtu anaeteseka baada ya kudhulumu mali ya mtu tena mtu masikini.
Unatumia ****** kufikiri, umeandika kinyesi kitupu. Stinking Rubbish
 
Poleni CDM imekula kwenu hiyo suborini muone baada ya uchaguzi namna mtaishi bila ruzuku ndio mtajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi
Tupe hongera kwa sababu safari hii hakuna wanachama wetu watakaokufa wala kubambikiwa kesi na kufungwa bila kosa
 
Ukweli mchungu ni kuwa, hawa watu wameshafanya makosa mengi sana yakiwemo ya jinai kama vile tuhuma za wizi na ufisadi, mauji,kuteka na kupoteza watui na nyingine nyingi. Hivyo, si rahisi kwa wao kuaachia madaraka kwa hofu ya kushughulikiwa na kwahiyo wanalazimika kuhakikisha wanabaki madarakani kwa gharama yoyoyte ile.

Hata hivyo, hali hii haiondoi ukweli kuwa wao kama binadamu, wanaishi na nafsi zinazowasuta kwa matendo yao maovu ingawa machoni mwa watu wanajitahidi kupeleka picha tofauti na moja ya ushahidi wa hiki nachosema ni hii nguvu kubwa wanayotumia waonekana wanakubalika mbele za watu na kwamba wana furaha na amani katika mioyo yao.

Kitendo cha CHADEMA kukataa kushirikia katika huu uchaguz, ni pigo kubwa sana kwao na wanona aibu sana katika nafsi zao huku roho zikiwasuta kwani wanajua kuna mamilioni ya watanzania wanaipenda CHADEMA na wamewanyma hiyo nafasi kwa kushindwa kwao kuweka uwanja wenye ushindani sawa na wa haki kwenye uchaguzi.

Mmejiuliza nini kimemfanya huyo Mama kusema na kuna vyama vimekimbia uchaguzi? Kuna mtu alimuuliza?

Jibu rahisi: Nafsi inamtesa na anajishitukia sana sawa na mtu alifenya dhambi ya kuua na sasa anaishi kwa hofu na mashaka. Huyo ndio Mama na hali hio ni kwa wenzake wote.

Option waliobaki nayo ni kushupaza shingo tu hata mkisema nini lakini ukweli ni kwamba mioyoni mwao nafsi zinawasuta na bilsa shaka hata amani ya moyo hawana japo wanapata kila wanachokitaka.

Kwa kifupi, hawana tofauti na mtu anaeteseka baada ya kudhulumu mali ya mtu tena mtu
CCM ni wataalamu wa kushupaza shingo
 
Kuwaongoza Watanzania ni kazi rahisi sana, ni watu wa kujitia moyo tu, na wanaamini kwenye loose loose situation (ujamaa)... hoja ya CDM ilikuwa hakuna Uchaguzi - leo ni siku ya 2 ya kampeni na dalili zote zinaonesha uchaguzi upo na inaanza kutafsrika ni kama vile CDM tu imesusia.. Je back up plan ni ipi? je baada ya Uchaguzi NRNE itakuwa practical? Je Chama kina mkakati upi wa kupata uungwaji mkono mkubwa kwenye majimbo ya Pwani yenye itikadi tofauti kidogo na Bara - yale yaliyokuwa Majimbo yenye CUf sana? Ambako kwa sasa uungwaji mkono ni mdogo sana Je?..... na je kibao --- hizi ndio hoja za msingi Chama kinatakiwa kujiuliza kimkakati... CCM wanafanya makosa mengi bahati mbaya na CDM nao wanafanya makosa kibao kubwa zaidi ni kususia uchaguzi kunawafanya CCM wajiimarishe sana bila nguvu kubwa..bahati mbaya tukijiuliza hivi tunaishia kushambuliana... basi wacha tuunge mkono ili tufurahishane kuwa hakuna mwamko wa uchaguzi kwa kuwa CDM haishiriki...
 
Ila wanaopost kila siku ni chadema hapo utashangaa chadema wanakusanyika huku wanalia maana sababu zao za kususa hakuna mwenye mpango nazo

USSR
Wamesusa lakini ccm wamefawa mapikipiki nchi nzima
Wamegawa baiskeli nchi nzima
Wanasomba watu kwa nguvu wakasikilize vijembe
Tume, nec, mahakama, TISS bado hawatoshi mpaka ma cable
 
Kuwaongoza Watanzania ni kazi rahisi sana, ni watu wa kujitia moyo tu, na wanaamini kwenye loose loose situation (ujamaa)... hoja ya CDM ilikuwa hakuna Uchaguzi - leo ni siku ya 2 ya kampeni na dalili zote zinaonesha uchaguzi upo na inaanza kutafsrika ni kama vile CDM tu imesusia.. Je back up plan ni ipi? je baada ya Uchaguzi NRNE itakuwa practical? Je Chama kina mkakati upi wa kupata uungwaji mkono mkubwa kwenye majimbo ya Pwani yenye itikadi tofauti kidogo na Bara - yale yaliyokuwa Majimbo yenye CUf sana? Ambako kwa sasa uungwaji mkono ni mdogo sana Je?..... na je kibao --- hizi ndio hoja za msingi Chama kinatakiwa kujiuliza kimkakati... CCM wanafanya makosa mengi bahati mbaya na CDM nao wanafanya makosa kibao kubwa zaidi ni kususia uchaguzi kunawafanya CCM wajiimarishe sana bila nguvu kubwa..bahati mbaya tukijiuliza hivi tunaishia kushambuliana... basi wacha tuunge mkono ili tufurahishane kuwa hakuna mwamko wa uchaguzi kwa kuwa CDM haishiriki...
NRNE ipo pale pale mkuu, kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuita kinachofanyika kuwa ni uchaguzi, hili ni igizo la uchaguzi hata wanaccm wenye kujitambua wamepooza na kujiona ni wafujaji wa kodi za wamanchi kufanyia igizo hili.
 
Kupooza au kutopooza haikuwa ultimate goal ya NRNE, uchaguzi ukifanyika itakuwa CDM walisusia which is detrimental to the party in the medium and long run. Bahati mbaya siasa hazina akili timamu sana Mkuu.... nimeona post ya BBC IG kuhusiana na wagombea Urais, mwanzo walisema TAL amezuiwa lakini naona wamerekebisha na kuandika amesusia.
 
Back
Top Bottom