GE2025 All in all, kwa CHADEMA kugoma kushiriki huu uchaguzi, kunawatesa na kuwafedhehesha sana CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kampeni za mwaka huku kama ziara za kawaida za kiserikali za viongozi kukagua utekelezaji wa Ilani. Mgombea kusoma neno kwa neno wakati wa kuomba kura nayo haijakaa kikampenikampeni.
 
CCM wanachofanya ni kuendeleza rushwa kwa ccmwalalahoi kuonjeshwa asali baada ya Wajumbe kubakisha makombo

Huu ni muendelezo wa ufisadi kwa kivuli Cha uchaguzi
 
Hali hii haitoi taswira nzuri ya nchi yetu. Anyway safari hii hatutasikia mauwaji,kutekwa,kubambikwa kesi na hii itatoa fundiko ya aina ya siasa tulizo nazo. ni jeshi pekee ndilo litakalo nyoosha nchi hii.
 
Poleni CDM imekula kwenu hiyo suborini muone baada ya uchaguzi namna mtaishi bila ruzuku ndio mtajua umuhimu wa kushiriki uchaguzi
Chadema imekuwa kama itikadi, inaweza kufa ila mawazo yake hayawezi kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…