GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
Hahahaaa hata mie sijui. Ila tutajua tu hivi karibuni. Ndo utaratibu umeanza March 1 tu hapo watakuja watu kusemaMlitaka muwaibukie na vyeti vyenu vya kuandikiana huko eti ukilipa $100 unazugwa kupimwa corona kisha unapewa cheti ukawaibukie wazungu kwao. Lazima mpitie hapa mpanue midomo tutumbukize vifaa vya kukagua kama kweli mko wasafi....
Hehehe!! Nimefanya kuchomekea tu ila sijui mbona imelazimishwa mpitie kwetu hapa.