Huko kwenu ndiyo makao makuu ya corona.Na nyie Wasafiri wa kutoka Bongo mkija Nairobi msituletee corona zenu huku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenu ndiyo makao makuu ya corona.Na nyie Wasafiri wa kutoka Bongo mkija Nairobi msituletee corona zenu huku.
Hujui unachozungumza wewe. KLM tayari ina direct flight between JKIA na Schiphol. Halafu ni Schiphol sio hio Schipho unayoandika hapa. Hivi wewe hujui KLM na KQ zilikuwa na partnership kwa miaka nyingi na hio partnership iliisha tu mwaka uliopita. Ila abiria wa KQ walikuwa wanapakiwa kwenye ndege za KLM na abiria wa KLM walikuwa wanapakiwa kwenye ndege za KQ. Hata sasa tunapozungumza KLM bado inaendelea na direct flights kati ya Nairobi na Amsterdam japo frequency imepungua. Hakuna siku KLM imesema kwamba wamewacha kufanya direct flights between Nairobi and Amsterdam.Kwa jinsi KLM wanavyofanya kazi, Kilimanjaro ni Technical stop, Mkiondoka Schipho mnaenda mpaka Kilimanjaro, ambako kuna watakaoshuka na wengine kupanda ambao wanakwenda Schipho. Hawa waliopandia Kilimanjaro wataungana na watakaopandia Dar kurudi Schipho. Ikumbukwe kuwa ndege za KLM huwa hazilali Dar, ikifika usiku, inafanyiwa matengenezo kwa masaa machahe, usiku huo huo inarudi Armsterdam. The only thing they change is a cabin crew.
Sasa hiyo ya kupitia Nairobi ikitokea Dar, pengine itakuwa kama technical destination, itashusha abiria wa nairobi toka Schipho na kupakia wanaokwenda huko Schipho. Ila kwa abiria wa nairobi kutoka Schipho, itakuwa ni kuzunguka sana.
Wewe ng'ombe ya gredi gani? Route ya KLM to Nairobi ndio most profitable hapa EA maana ina abiria wengi kushinda routes za TZ.You have nailed it to show him they only have one destination against three from our end. Actually, we have got nothing to be worried about from this news.
Sawa. Nimekuelewa. Kwa hivyo kama wewe ni member wa skyteam umepanda KQ sana. Maana nyie abiria wa KLM mlikuwa mnapakiwa kwenye ndege za members wa skyteam ikiwemo KQ. Cha maajabu ni kwamba mimi sijawahi kupanda KQ. Bei yao ipo juu sana. Mimi huwa napanda Emirates sana sana ila nimewahi kupanda Qatar airways. Airlines za kiarabu ni affordable kushinda hizi za kiafrika.Tony254 mimi ni member of flying blue the member of SkyTeam. Nimetumiwa email ya kwamba the same flight will fly from Schiphol to Kilimanjaro and Dar (as technical stops) then Nairobi. Thereafter, to Schiphol again. No change of flight at all those stops.
Hio partnership iliisha ndio maana KLM ikaamua kuanza direct routes za Dar, Kili na Zanzibar. Lakini wakaanza kupata losses kwa sababu TZ hamna abiria wa kutosha. Kwani wewe bado unaishi stone-age? Hukuwa umepata habari hio?KLM ina miliki KQ Tangu miaka ya 90's. Kwa hivyo, JKIA ni kama nyumbani kwa mke wapili wako. Lakusikitisha ni kwanini kama partners na KQ, bado wana piga route za EastAfrica? Wangeachia safari jkia wategemee wake zao kq kuleta abiria wa ku connect.
Halafu unaona mikenya humu ikikenua meno.. Wanjinga na pumbavu sana aise
Ulikuwa unataka kutuonyesha kwamba unajua kuandika vizuri kwa kiingereza. Sawa hongera tumeona kwamba Mlazy mmoja anajua kuandika vizuri kwa kiingereza.I have never wanted to say this before but this time I will.
The author of the tread is stupid and all the Kenyans supporting him are so too. I can't even start to educate you all. Your thinking capacity is too low. You have shown that over and over again. In multiple platforms. It's embarrassing! !!
Ungeanza kumgrade nyanya yako kabla hujaja kwangu, siwezi shangaa Nairobi kuwa na abiria wengi as mabasha zenu lazima wamiminike kwa wingi kuja tuliza vipururu....ukizingatia machungu ya kuwa locked huko kwao.... Tanzania habari nyingine we Zombie, you can't compare na kinchi chenye scarcity kwenye upatikanaji wa mlo mmoja tu kwa siku.... Kuna watu TZ hawapandi, wahavuni, hawana kazi and yet hawafi njaa, nyie endeleeni kuhesabu ndege juu huku tumboni hamna kitu....ng'ombe kamsamba asiyekamuliwa we..... Naiona Libya ya Gaddafi ikinyemelea Tz...Wewe ng'ombe ya gredi gani? Route ya KLM to Nairobi ndio most profitable hapa EA maana ina abiria wengi kushinda routes za TZ.
Kenya is Nairobi and Nairobi is Kenya, kwengine ni mavumbi, funza, njaa na umaskini.Wewe ng'ombe ya gredi gani? Route ya KLM to Nairobi ndio most profitable hapa EA maana ina abiria wengi kushinda routes za TZ.
Ulikuwa unataka kutuonyesha kwamba unajua kuandika vizuri kwa kiingereza. Sawa hongera tumeona kwamba Mlazy mmoja anajua kuandika vizuri kwa kiingereza.
What a comeback, cheers to that, matter of fact this dude is insanely not seeing the point here, numbers don't lie, our international flying options are incomparable to theirs. Mwenye macho haambiwi tazama.... Lets just let him be.Kenya is Nairobi and Nairobi is Kenya, kwengine ni mavumbi, funza, njaa na umaskini.
The Point is you can fly to europe from Zanzibar or Kilimanjaro, apart from Dar es Salaam.
Point za msingi sana, but as one Kenyan pastor said, pretenders are worse than murders...KLM ina miliki KQ Tangu miaka ya 90's. Kwa hivyo, JKIA ni kama nyumbani kwa mke wapili wako. Lakusikitisha ni kwanini kama partners na KQ, bado wana piga route za EastAfrica? Wangeachia safari jkia wategemee wake zao kq kuleta abiria wa ku connect.
Halafu unaona mikenya humu ikikenua meno.. Wanjinga na pumbavu sana aisee
Acha uongo,klm itakua inaongezea abiria tu hapo nairobi,hamna abiria atakaeshuka hapo kwenu,mimi nishaitumia klm,hiyo ndege ikiwa inatoka amsterdam to KIA/dar uwa iko full,inaporudi amsterdam uwa haijai kivile,na mdutch uwa analeta boeing ya abiria kuanzia 200Nairobi ndio hub ya KLM hapa East Africa. Walijaribu kufanya Dar iwe hub wakapata losses sasa wamerudisha hub Nairobi. Kwa watu ambao wamezoea kupanda ndege mtaelewa kwamba notisi hii inamaana kwamba ukipanda KLM ukiwa Dar, utashuka Nairobi na kupanda ndege nyingine inayokwenda Europe au Asia. Yaani Nairobi ndio inatumika kama connecting hub. Yaani mambo ya Abiria kupanda ndege Dar na kusafiri hadi ulaya direct imesimamishwa kwa sababu hakukuwa na abiria wa kutosha kwa safari za direct so inabidi nyinyi nyumbu mletwe Nairobi msaidie kujaza ndege ili ndege ing'oe nanga.
bange mbaya sana especially ikifikia hadi raisi kuvuta...mnaambiwa moja mnakuja na majibu yenu...kwani ndege zote lazima ziwe moja kwa moja watoke uholanzi wapiti Nairobi kumpakia nyang'au gani kumleta Tanzania wanarudi kupitia Nairobi kujazilizia watejaMlitaka muwaibukie na vyeti vyenu vya kuandikiana huko eti ukilipa $100 unazugwa kupimwa corona kisha unapewa cheti ukawaibukie wazungu kwao. Lazima mpitie hapa mpanue midomo tutumbukize vifaa vya kukagua kama kweli mko wasafi....
Hehehe!! Nimefanya kuchomekea tu ila sijui mbona imelazimishwa mpitie kwetu hapa.
bange mbaya sana especially ikifikia hadi raisi kuvuta...mnaambiwa moja mnakuja na majibu yenu...kwani ndege zote lazima ziwe moja kwa moja watoke uholanzi wapiti Nairobi kumpakia nyang'au gani kumleta Tanzania wanarudi kupitia Nairobi kujazilizia wateja
Unajua maana ya mabadiliko haya? Hapo Nairobi hamna abiria atayeshuka ndani ya ndege zaidi ya kuwachukua abiria wanaolekea Amsterdam.Samahani ila ndio ishakua hivyo, mabeberu wamesema mpitie hapa tuwakague kabla kuwaibukia, hawana imani na nyie kwa ukajanja wenu mwingi haswa kwenye hili la corona mumewatoa kafara watu wenu wengi, hamtaki tahadhari, nimeshangaa sana kuna father wa kanisa katoliki kwenu huko ameeleza namna wamepukutika kanisani.
Hamna kitu kibaya kama kuongelea kitu usichokijua. KLM wamekuwa na direct flights za Amsterdam - Dar es Salaam-Amsterdam (baadae via Kilimanjaro na Zanzibar) kwa miaka yote tokea waanze kuja Tanzania.Hio partnership iliisha ndio maana KLM ikaamua kuanza direct routes za Dar, Kili na Zanzibar. Lakini wakaanza kupata losses kwa sababu TZ hamna abiria wa kutosha. Kwani wewe bado unaishi stone-age? Hukuwa umepata habari hio?
Ila uko na ujinga mwingi sana aiseSamahani ila ndio ishakua hivyo, mabeberu wamesema mpitie hapa tuwakague kabla kuwaibukia, hawana imani na nyie kwa ukajanja wenu mwingi haswa kwenye hili la corona mumewatoa kafara watu wenu wengi, hamtaki tahadhari, nimeshangaa sana kuna father wa kanisa katoliki kwenu huko ameeleza namna wamepukutika kanisani.