All international flights in Tanzania to pass through JKIA Nairobi

Nairobi ndio hub ya KLM hapa East Africa. Walijaribu kufanya Dar iwe hub wakapata losses sasa wamerudisha hub Nairobi. Kwa watu ambao wamezoea kupanda ndege mtaelewa kwamba notisi hii inamaana kwamba ukipanda KLM ukiwa Dar, utashuka Nairobi na kupanda ndege nyingine inayokwenda Europe au Asia. Yaani Nairobi ndio inatumika kama connecting hub. Yaani mambo ya Abiria kupanda ndege Dar na kusafiri hadi ulaya direct imesimamishwa kwa sababu hakukuwa na abiria wa kutosha kwa safari za direct so inabidi nyinyi nyumbu mletwe Nairobi msaidie kujaza ndege ili ndege ing'oe nanga.
Acha uongo ni kwa sababu ya corona tu ndiyo maana wameonyesha watatoa update tena April
 
Kitu ambacho wabongo wengi hawajanotice ni kwamba Flights za kutoka Amsterdam kuja Bongo zinakuja moja kwa moja

Ila za kutoka Bongo kwenda Amsterdam ni lazima waweke kituo Nairobi

Hapo ndo pa kujiuliza ni kituo cha nini? Na kwanini

*Nadhani ukienda kununua tiketi utakutana na vigezo na masharti zaidi kuwa tunakupakia hapa tunaenda Nairobi tutafanya hiki na hiki usipo"qualify " unabaki/unarudishwa

Sasa mkuu ukipanda na kirusi hadi unafika Nairobi huoni utakuwa umeshaambukiza hadi ndege yenyewe. Nadhani hili zoezi litakuja kuwa gumu na itabidi wasitishe ndege kuja Tanzania. Hapo ndiyo mwanzo wa kuanza kuishi kama North Korea utaanza
 
Acha uongo ni kwa sababu ya corona tu ndiyo maana wameonyesha watatoa update tena April
Kama ni kwa sababu ya corona Tanzania mbona walete abiria Kenya? Kwani Kenya hakuna corona? Kenya corona ipo pia, so mbona walete abiria Nairobi na huku pia corona ipo? Wewe ndio hujielewi. Corona ni excuse. Sababu ya msingi ni kwamba direct route from Dar to Europe is not profitable maana watu hawajai so imebidi abiria kutoka Dar waletwe Nairobi kujaza ndege huku.
 
Nairobi ndio hub ya KLM hapa East Africa. Walijaribu kufanya Dar iwe hub wakapata losses sasa wamerudisha hub Nairobi. Kwa watu ambao wamezoea kupanda ndege mtaelewa kwamba notisi hii inamaana kwamba ukipanda KLM ukiwa Dar, utashuka Nairobi na kupanda ndege nyingine inayokwenda Europe au Asia. Yaani Nairobi ndio inatumika kama connecting hub. Yaani mambo ya Abiria kupanda ndege Dar na kusafiri hadi ulaya direct imesimamishwa kwa sababu hakukuwa na abiria wa kutosha kwa safari za direct so inabidi nyinyi nyumbu mletwe Nairobi msaidie kujaza ndege ili ndege ing'oe nanga.
Acha uongo wewe.
 
Kama ni kwa sababu ya corona Tanzania mbona walete abiria Kenya? Kwani Kenya hakuna corona? Kenya corona ipo pia, so mbona walete abiria Nairobi na huku pia corona ipo? Wewe ndio hujielewi. Corona ni excuse. Sababu ya msingi ni kwamba direct route from Dar to Europe is not profitable maana watu hawajai so imebidi abiria kutoka Dar waletwe Nairobi kujaza ndege huku.
Ubongo wako haufanyi kazi vizuri ninamaana corona imeshababisha abiria wasisafiri wengi hivyo wanaunganisha trip za TZ na Kenya ili ndege ijae wewe vipi nyang'ao!!?
 
Corona ndio sababu ya abiria kuoungua ndio maana wanaunga abiria wa nai na Dar.
 
Nairobi is the undisputed hub of East and Central Africa region in everything and KLM shows us why.​

View attachment 1716251

KLM latest flight schedule to and from Tanzania​

  • Tuesday 2nd March 2021 9:36am | 2 days ago
Starting 1st March 2021, KLM updated their flight schedule for departures to and from Tanzania. Here's the latest information:

Kilimanjaro Departures
Operates 1 weekly flight (Friday) to and from from Kilimanjaro.

KL 0559 AMS - JRO: 1 weekly flight. Departure - 1145hrs local time. Arrival - 2205hrs local time.

KL 0559 JRO - AMS: 1 weekly flight via Nairobi. Departure - 2305hrs - local time. Arrival - 0745hrs (+1) local time.

Dar es Salaam Departures
Operates 2 weekly flights (Wednesday* & Saturday) to and from Dar es Salaam.

KL 0555 AMS - DAR: 2 weekly flights. Departure- 1045hrs local time. Arrival - 2130hrs local time.

KL 0555 DAR - AMS: 2 weekly flights via Nairobi. Departure - 2240hrs local time. Arrival 0745hrs (+1) local time.

*Days of departure to and from Dar es Salaam in the first and last weeks of March will change to Tuesday & Saturday.

Zanzibar Departures
Operates 2 weekly flights (Thursday & Sunday) to and from Zanzibar.

KL 0551 AMS - ZNZ: 2 weekly flights. Departure 1045hrs - local time. Arrival - 2130hrs local time.

KL 0551 ZNZ - AMS: 2 weekly flights via Nairobi. Departure - 2245hrs local time. Arrival - 0745hrs (+1) local time.

images-for-articles-klm-flight-schedule.jpg
 
Mashashola,
Ni kwamba kutakuwepo na direct flights toka Amsterdam Uholanzi mpaka viwanja vya ndege vya kimataifa nchini Tanzania vya JNIA DSM , AAKIA ZNZ na KIA Kilimanjaro bila kupitia JKIA Nairobi .

Ila wakati wa kutoka JNIA Dsm, AAIA ZNZ na KIA Kilimanjaro JRO ndipo itapitia JKIA Nairobi kuelekea Amsterdam.

Kabla ya marekebisho haya madogo, KLM walikuwa na huduma za direct flight toka Amsterdam via KIA Kilimanjaro mpaka JNIA DSM. Pia Direct Flight Amsterdam mpaka AAIA Zanzibar . Kisha flights hizo kurejea moja kwa moja Amsterdam via Dar es Salaam. KLM adds Zanzibar service from Dec 2020; Tanzania service adjustment

KLM inasema Tanzania ni nchi pekee barani Afrika ambayo inapokea direct flights za ndege za KLM katika viwanja vyake vitatu vya kimataifa vya JNIA Julius Nyerere international airport Dar es Salaam, AAIA Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar na JRO Kilimanjaro International airport KIA.
 
Hapa WHO wana mkono wao, maana wale wasiotaka chanjo ya corona mkifika Nairobi lazima mchanjwe ndiyo muendelee na safari, vinginevyo rudini kwenu...
 
Kama ni kwa sababu ya corona Tanzania mbona walete abiria Kenya? Kwani Kenya hakuna corona? Kenya corona ipo pia, so mbona walete abiria Nairobi na huku pia corona ipo? Wewe ndio hujielewi. Corona ni excuse. Sababu ya msingi ni kwamba direct route from Dar to Europe is not profitable maana watu hawajai so imebidi abiria kutoka Dar waletwe Nairobi kujaza ndege huku.

Tony254 mimi ni member of flying blue the member of SkyTeam. Nimetumiwa email ya kwamba the same flight will fly from Schiphol to Kilimanjaro and Dar (as technical stops) then Nairobi. Thereafter, to Schiphol again. No change of flight at all those stops.
 
Hapa WHO wana mkono wao, maana wale wasiotaka chanjo ya corona mkifika Nairobi lazima mchanjwe ndiyo muendelee na safari, vinginevyo rudini kwenu...
Chanjo sio lazima. Hata kama ni requirement ya kusafiri nchi nyingine basi kunakuwa na utaratibu kwenye nchi husika.
 
Wananchi wa Kenya kesho wanaanza kudungwa chanjo ya Corona, Tanzania tunaamini uchawi! Hatari sana hii
Corona ipo Tanzania ,Ila kukimbilia chanjo ambayo hata wenyewe hawaiamini hapana endeleeni na hayo majaribio tutawakuta baada ya kudhibitisha ubora wake.South Africa walizkimbilia wamepiga brake
kwanza
 
Kitu ambacho wabongo wengi hawajanotice ni kwamba Flights za kutoka Amsterdam kuja Bongo zinakuja moja kwa moja

Ila za kutoka Bongo kwenda Amsterdam ni lazima waweke kituo Nairobi

Hapo ndo pa kujiuliza ni kituo cha nini? Na kwanini

*Nadhani ukienda kununua tiketi utakutana na vigezo na masharti zaidi kuwa tunakupakia hapa tunaenda Nairobi tutafanya hiki na hiki usipo"qualify " unabaki/unarudishwa
Kuna muda huo kweli?inachukua muda gani kutoa majibu ya Corona?au watapima jotoridi
 
Corona ndio sababu ya abiria kuoungua ndio maana wanaunga abiria wa nai na Dar.
Ubongo wako haufanyi kazi vizuri ninamaana corona imeshababisha abiria wasisafiri wengi hivyo wanaunganisha trip za TZ na Kenya ili ndege ijae wewe vipi nyang'ao!!?
Sawa naona tumeelewana kwamba Dar to Europe direct haiwezekani. Hamna abiria wa kutosha. Wacheni kusema kwamba corona imewazuia kusafiri ilhali huwa mnasema kwamba Tanzania haina corona. Hata mask hamvai na social distancing hamfanyi. Sasa kama hamna corona huko Tanzania basi mbona hamsafiri kwa wingi?
 
KLM ina miliki KQ Tangu miaka ya 90's. Kwa hivyo, JKIA ni kama nyumbani kwa mke wapili wako. Lakusikitisha ni kwanini kama partners na KQ, bado wana piga route za EastAfrica? Wangeachia safari jkia wategemee wake zao kq kuleta abiria wa ku connect.

Halafu unaona mikenya humu ikikenua meno.. Wanjinga na pumbavu sana aise
 
Sawa naona tumeelewana kwamba Dar to Europe direct haiwezekani. Hamna abiria wa kutosha. Wacheni kusema kwamba corona imewazuia kusafiri ilhali huwa mnasema kwamba Tanzania haina corona. Hata mask hamvai na social distancing hamfanyi. Sasa kama hamna corona huko Tanzania basi mbona hamsafiri kwa wingi?
Hatusafiri kwa sababu tunaogopa tukienda huko ulaya tutapata corona ila watalii wanakuja kuangalia rasilimari zetu.
 
Na nyie Wasafiri wa kutoka Bongo mkija Nairobi msituletee corona zenu huku.
 
Back
Top Bottom