Hahahaaa hata mie sijui. Ila tutajua tu hivi karibuni. Ndo utaratibu umeanza March 1 tu hapo watakuja watu kusemaMlitaka muwaibukie na vyeti vyenu vya kuandikiana huko eti ukilipa $100 unazugwa kupimwa corona kisha unapewa cheti ukawaibukie wazungu kwao. Lazima mpitie hapa mpanue midomo tutumbukize vifaa vya kukagua kama kweli mko wasafi....
Hehehe!! Nimefanya kuchomekea tu ila sijui mbona imelazimishwa mpitie kwetu hapa.
Ona haka nako! Sasa hujaelewa nini hapo?Kizungu kimeleta taabu, anawadanganya babu yenu mjikite kwenye kiswahili, ona sasa. Hizi ni international flights za KLM not any other international airlines operating in Tanzania.
Wewe ndio lipumbavuHaya makampuni mwisho yataacha kuja Tanzania kwa ajili ya upumbavu wa mtu mmoja
Wapi wameongelea vipimo? Mpaka unapanda kwenye ndege yao mnaake tayari umepima!Huna akili kabisa! KLM ni Non stop flight,maana yako ikienda Nairobi wanakupima,kama una Corona huendi!
Unadhani? Nilifikiri umekutana nayo kumbe unadhani?Kitu ambacho wabongo wengi hawajanotice ni kwamba Flights za kutoka Amsterdam kuja Bongo zinakuja moja kwa moja
Ila za kutoka Bongo kwenda Amsterdam ni lazima waweke kituo Nairobi
Hapo ndo pa kujiuliza ni kituo cha nini? Na kwanini
*Nadhani ukienda kununua tiketi utakutana na vigezo na masharti zaidi kuwa tunakupakia hapa tunaenda Nairobi tutafanya hiki na hiki usipo"qualify " unabaki/unarudishwa
Wanakuja huko kucbukua abiria. Ni swala la kibiahara.Mlitaka muwaibukie na vyeti vyenu vya kuandikiana huko eti ukilipa $100 unazugwa kupimwa corona kisha unapewa cheti ukawaibukie wazungu kwao. Lazima mpitie hapa mpanue midomo tutumbukize vifaa vya kukagua kama kweli mko wasafi....
Hehehe!! Nimefanya kuchomekea tu ila sijui mbona imelazimishwa mpitie kwetu hapa.
Nairobi is the undisputed hub of East and Central Africa region in everything and KLM shows us why.
View attachment 1716251
Wewe ni nani hadi ufikiri juu ya wanayowaza/kukutana nayo au kufikiri watu wengine??Unadhani? Nilifikiri umekutana nayo kumbe unadhani?
Haya makampuni mwisho yataacha kuja Tanzania kwa ajili ya upumbavu wa mtu mmoja
You have nailed it to show him they only have one destination against three from our end. Actually, we have got nothing to be worried about from this news.Amsterdam-Dar es Salaam then Dar es Salaam- Nairobi- Amsterdam,
You sound folly, nini huelewi we kilaza, wazungu wakitoka Zanzibar wanapitia Nairobi then wanaenda uholanzi.
Tena I thought you'll see how Tz got multiple operating international airports, yaani Zamzibar, Kilimanjaro, Dar, and soon Mwanza and Dodoma.
Hebu wewe tupe maana ya hilo bandiko kwa sababu jamaa ameeleza sahihi tu na umemkosoa hajui kiingereza. Tutafsirie wewe umeelewajeKizungu kimeleta taabu, anawadanganya babu yenu mjikite kwenye kiswahili, ona sasa. Hizi ni international flights za KLM not any other international airlines operating in Tanzania.
Wakenya wapuuzi sana. Mbona Swissair siku zote inafanya hivi?!flying via Nairobi si maana yake watapandia TZ ila watapitia Nairobi kabla ya kwenda nchi zingine? kwani kuna shida gani? si ni sawa tu na bus linapopitia stand fulani ili kujaza abiria? hapo shida ipo wapi?
Hata Swissair wanafanya hivi miaka yote. Ni rahisi kwao kwasababu ya uchache wa abiri wanachanganya wa Nai na Dar ndege inajaa. Baada ya kuwa na flight mbili inakuwa moja from Dar/nai-amst badala ya far/amst +nai/amstKitu ambacho wabongo wengi hawajanotice ni kwamba Flights za kutoka Amsterdam kuja Bongo zinakuja moja kwa moja
Ila za kutoka Bongo kwenda Amsterdam ni lazima waweke kituo Nairobi
Hapo ndo pa kujiuliza ni kituo cha nini? Na kwanini
*Nadhani ukienda kununua tiketi utakutana na vigezo na masharti zaidi kuwa tunakupakia hapa tunaenda Nairobi tutafanya hiki na hiki usipo"qualify " unabaki/unarudishwa
Anhaaa sawa mkuuHata Swissair wanafanya hivi miaka yote. Ni rahisi kwao kwasababu ya uchache wa abiri wanachanganya wa Nai na Dar ndege inajaa. Baada ya kuwa na flight mbili inakuwa moja from Dar/nai-amst badala ya far/amst +nai/amst
Anhaaa sawa mkuu
Saivi tumekua waoga(Japo hatusafiri hahahaaa)
Usije panda ndege kwenda uholanzi ukashushwa Nairobi halafu ukutane na kipimio cha mchina
Bora waseme tu vizuri kabla ya kununua ticket
Nairobi ndio hub ya KLM hapa East Africa. Walijaribu kufanya Dar iwe hub wakapata losses sasa wamerudisha hub Nairobi. Kwa watu ambao wamezoea kupanda ndege mtaelewa kwamba notisi hii inamaana kwamba ukipanda KLM ukiwa Dar, utashuka Nairobi na kupanda ndege nyingine inayokwenda Europe au Asia. Yaani Nairobi ndio inatumika kama connecting hub. Yaani mambo ya Abiria kupanda ndege Dar na kusafiri hadi ulaya direct imesimamishwa kwa sababu hakukuwa na abiria wa kutosha kwa safari za direct so inabidi nyinyi nyumbu mletwe Nairobi msaidie kujaza ndege ili ndege ing'oe nanga.Amsterdam-Dar es Salaam then Dar es Salaam- Nairobi- Amsterdam,
You sound folly, nini huelewi we kilaza, wazungu wakitoka Zanzibar wanapitia Nairobi then wanaenda uholanzi.
Tena I thought you'll see how Tz got multiple operating international airports, yaani Zamzibar, Kilimanjaro, Dar, and soon Mwanza and Dodoma.
Unacheka nini sasa! Hapo ni kuongeza abiria kwa kuwa hata hapo Kenya abiria siyo wengi ndiyo maana wanaunganisha abiria wa TZ na KenyaHehehehe!!!