All international flights in Tanzania to pass through JKIA Nairobi

Hujui unachozungumza wewe. KLM tayari ina direct flight between JKIA na Schiphol. Halafu ni Schiphol sio hio Schipho unayoandika hapa. Hivi wewe hujui KLM na KQ zilikuwa na partnership kwa miaka nyingi na hio partnership iliisha tu mwaka uliopita. Ila abiria wa KQ walikuwa wanapakiwa kwenye ndege za KLM na abiria wa KLM walikuwa wanapakiwa kwenye ndege za KQ. Hata sasa tunapozungumza KLM bado inaendelea na direct flights kati ya Nairobi na Amsterdam japo frequency imepungua. Hakuna siku KLM imesema kwamba wamewacha kufanya direct flights between Nairobi and Amsterdam.
 
You have nailed it to show him they only have one destination against three from our end. Actually, we have got nothing to be worried about from this news.
Wewe ng'ombe ya gredi gani? Route ya KLM to Nairobi ndio most profitable hapa EA maana ina abiria wengi kushinda routes za TZ.
 
I have never wanted to say this before but this time I will.

The author of the tread is stupid and all the Kenyans supporting him are so too. I can't even start to educate you all. Your thinking capacity is too low. You have shown that over and over again. In multiple platforms. It's embarrassing! !!
 
Sawa. Nimekuelewa. Kwa hivyo kama wewe ni member wa skyteam umepanda KQ sana. Maana nyie abiria wa KLM mlikuwa mnapakiwa kwenye ndege za members wa skyteam ikiwemo KQ. Cha maajabu ni kwamba mimi sijawahi kupanda KQ. Bei yao ipo juu sana. Mimi huwa napanda Emirates sana sana ila nimewahi kupanda Qatar airways. Airlines za kiarabu ni affordable kushinda hizi za kiafrika.
 
Hii mbona nzuri kwa wale tunaopenda stops nyingi? Yaani natoka zangu Dar natua Nairobi nakaa saa 1, baadae huyo Amsterdam nakaa zangu masaa 7 halafu naunganisha na Delta mpaka Atlanta nakula masaa yangu 3 halafu huyooo NC. Hii haitustui kwetu sisi labda wasema tuje kwa Noah mpaka Nairobi ndio tutaikuta KLM ila kama wanatufata Bongo wafanye hivyo na msichokijua mwanzo ilikuwa hivyo kabla ya kuanza kuruka direct from Dar to Amsterdam
 
Hio partnership iliisha ndio maana KLM ikaamua kuanza direct routes za Dar, Kili na Zanzibar. Lakini wakaanza kupata losses kwa sababu TZ hamna abiria wa kutosha. Kwani wewe bado unaishi stone-age? Hukuwa umepata habari hio?
 
Ulikuwa unataka kutuonyesha kwamba unajua kuandika vizuri kwa kiingereza. Sawa hongera tumeona kwamba Mlazy mmoja anajua kuandika vizuri kwa kiingereza.
 
Wewe ng'ombe ya gredi gani? Route ya KLM to Nairobi ndio most profitable hapa EA maana ina abiria wengi kushinda routes za TZ.
Ungeanza kumgrade nyanya yako kabla hujaja kwangu, siwezi shangaa Nairobi kuwa na abiria wengi as mabasha zenu lazima wamiminike kwa wingi kuja tuliza vipururu....ukizingatia machungu ya kuwa locked huko kwao.... Tanzania habari nyingine we Zombie, you can't compare na kinchi chenye scarcity kwenye upatikanaji wa mlo mmoja tu kwa siku.... Kuna watu TZ hawapandi, wahavuni, hawana kazi and yet hawafi njaa, nyie endeleeni kuhesabu ndege juu huku tumboni hamna kitu....ng'ombe kamsamba asiyekamuliwa we..... Naiona Libya ya Gaddafi ikinyemelea Tz...
 
Sisi tunajua sana kiingereza, ndege za wazungu, tunawazungu wengi!!! Alisikika mkunya mmoja.
Ulikuwa unataka kutuonyesha kwamba unajua kuandika vizuri kwa kiingereza. Sawa hongera tumeona kwamba Mlazy mmoja anajua kuandika vizuri kwa kiingereza.
 
Kenya is Nairobi and Nairobi is Kenya, kwengine ni mavumbi, funza, njaa na umaskini.
The Point is you can fly to europe from Zanzibar or Kilimanjaro, apart from Dar es Salaam.
What a comeback, cheers to that, matter of fact this dude is insanely not seeing the point here, numbers don't lie, our international flying options are incomparable to theirs. Mwenye macho haambiwi tazama.... Lets just let him be.
 
Point za msingi sana, but as one Kenyan pastor said, pretenders are worse than murders...
 
Acha uongo,klm itakua inaongezea abiria tu hapo nairobi,hamna abiria atakaeshuka hapo kwenu,mimi nishaitumia klm,hiyo ndege ikiwa inatoka amsterdam to KIA/dar uwa iko full,inaporudi amsterdam uwa haijai kivile,na mdutch uwa analeta boeing ya abiria kuanzia 200
 
bange mbaya sana especially ikifikia hadi raisi kuvuta...mnaambiwa moja mnakuja na majibu yenu...kwani ndege zote lazima ziwe moja kwa moja watoke uholanzi wapiti Nairobi kumpakia nyang'au gani kumleta Tanzania wanarudi kupitia Nairobi kujazilizia wateja
 

Samahani ila ndio ishakua hivyo, mabeberu wamesema mpitie hapa tuwakague kabla kuwaibukia, hawana imani na nyie kwa ukajanja wenu mwingi haswa kwenye hili la corona mumewatoa kafara watu wenu wengi, hamtaki tahadhari, nimeshangaa sana kuna father wa kanisa katoliki kwenu huko ameeleza namna wamepukutika kanisani.
 
Unajua maana ya mabadiliko haya? Hapo Nairobi hamna abiria atayeshuka ndani ya ndege zaidi ya kuwachukua abiria wanaolekea Amsterdam.

Huu ni utaratibu wa kawaida hasa kwa routes ambazo zina abiria wachache. Sasa hivi kutokana na covid-19 wasafiri ni wachache kwa hiyo siyo ajabu kufanya hivyo. Mambo yakirudia vizuri safari zote zitakuwa kawaida.

Utaratibu huu unatumiwa na Swiss International Airlines kwa miaka mingi sasa. Route yao ni Zurich - Nairobi - Dar es Salaam - Zurich.

Kwa sisi frequent flyers hamna jipya hapo.
 
Hio partnership iliisha ndio maana KLM ikaamua kuanza direct routes za Dar, Kili na Zanzibar. Lakini wakaanza kupata losses kwa sababu TZ hamna abiria wa kutosha. Kwani wewe bado unaishi stone-age? Hukuwa umepata habari hio?
Hamna kitu kibaya kama kuongelea kitu usichokijua. KLM wamekuwa na direct flights za Amsterdam - Dar es Salaam-Amsterdam (baadae via Kilimanjaro na Zanzibar) kwa miaka yote tokea waanze kuja Tanzania.

Haijawahi kumlazimu mtu yeyote kutoka Tanzania kupitia JKIA kuifuata KLM. Mimi ni abiria wa miaka mingi wa KLM na sijawahi kupitia Nairobi kuifuata.

Halafu hamna kitu kama hub ya KLM East Africa, Wakenya mna ujinga mwingi sana bila kujijua.

Mabadiliko yaliyofanywa na KLM ni ya muda mfupi kutokana na kupungua kwa wasafiri wakati huu wa covid-19. Hali ikitengamaa safari zao zitarudia kama kawaida.

Abiria wa kutoka Dar es Salaam kwenda Amsterdam hawatashuka Nairobi hata kidogo zaidi ya kuongezea abiria wa kutokea Nairobi. Ndege itayotumika ni hiyo hiyo (B787-9 au B787-10 ya KLM).

Swiss International Airlines wana route ya aina hiyo kwa miaka mingi sasa. Route yao ni Zurich-Nairobi-Dar es Salaam - Zurich.

Punguza hisia zako kwenye vitu usivyovifahamu.
 
Ila uko na ujinga mwingi sana aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…