All international flights in Tanzania to pass through JKIA Nairobi

Mimi huwa sipandi KLM kwa hivyo mambo ya KLM siyajui vizuri. Mimi hupanda Emirates na Qatar. Eti KLM ilianza direct flights between Kilimanjaro na Amsterdam mwaka gani?
 
Mimi huwa sipandi KLM kwa hivyo mambo ya KLM siyajui vizuri. Mimi hupanda Emirates na Qatar. Eti KLM ilianza direct flights between Kilimanjaro na Amsterdam mwaka gani?
We unashangaa hiyo hujui Kuna direct flight kutoka kia mpaka Dubai Doha
 

Mimi ni member wa Flying Blue ambao nao ni member wa SkyTeam.
KQ, tangu walivyo overbook nilivyotoka Washington, nilitaka nipitie Nairobi halafu niende bongo na precision sijarudia tena.
Hata KLM nina muda sijaitumia, maana nao walizidi kutuletea vikongwe kutuhudumia. Qatar na Emirates ni nzuri sana. Hasa Emirates unasafiri huku ukifurahia internet yenye speed ya hatari 5GB per second. Ni burudaani.
 

Punguza jazba.
🤣 🤣 🤣
 
Nilichoelewa mimi nikwamba wakifika Nairobi wanafanyiwa vipimo kisha ndiyo waendelee au wabaki kulingana na majibu ya vipimo vyao.
Usichokifahamu ni kuwa abiria waliochukuliwa viwanja vya ndege vya Tanzania wakifika Nairobi wanabaki kwenye ndege wakisubiri abiria wa Nairobi kujiunga nao kuendelea na safari. Hawashushwi kama ambavyo akili zako zinakutuma.
 
Tutakubali nini?

KLM walikuwa wa kwanza kukimbia mwaka jana, wamejirudisha?

Mbona tuli survive bila KLM ?

Tukitengwa na beberu tutapiga maendeleo.

North Korea wameweza, China, Cuba, Iran, Russia, Libya...
🙏 🙏 🙏 🙏 ❣️
 
Watanzania watachimba dawa Nairobi[emoji1]
flying via Nairobi si maana yake watapandia TZ ila watapitia Nairobi kabla ya kwenda nchi zingine? kwani kuna shida gani? si ni sawa tu na bus linapopitia stand fulani ili kujaza abiria? hapo shida ipo wapi?
 
Uliye andaa huu UZI ni mbumbumbu yaan kitu kipo open ww una angaika kugeuza ukweli....
 
we jamaa am sure baba yako alikua mbongo alikimbia mimba ya mamako huko...you love to hate Tanzania yaanii.......

haya la kwanza la klm wal;ilileta Tanzania kuonesha confidence nasi
Royal Dutch Airline, KLM has deployed its first Dreamliner to Kilimanjaro International Airport (KIA) direct from Amsterdam, offering a ray of hope to a Tanzania’s multi-billion dollar tourism industry.
The new Boeing 787-10 Dreamliner, “Oranjebloesem” (Orange Blossom) registration PH-BKA, was delivered in Amsterdam on Sunday June 30, 2019 and its maiden scheduled flight was KIA or JRO on Tuesday July 2, 2019.
 
Name other service Nairobi is best at compared to all East Africa
 
Nairobi is the undisputed hub of East and Central Africa region in everything and KLM shows us why.​

View attachment 1716251
Who are you kidding, talking as if the World does not know that Kenya Aiways is part and parcel of KLM, you're crazy,don't you think? how on earth does KLM/Kenya airways make Nairobi a Hub for East and central Africa Region - on papers may be. FYI Nairobi counts so little nowadays,any visitor or tourists interested to visit Tanzania they take direct flight to Bongoland and not anything in between, they are fed up of hearing Kenyans saying you see Mt. Kilimanjaro when you are in Amboseli there is no need of going to Tanzania to see Mt. Kilimanjaro - Kenyans are seasoned crafty creatures.
 
Hawa majirani wananikosha kweli kweli. Yaani wanavyojifanya wasomi kumbe wajinga kiasi ichi! Eti KLM kuwa na stop KE imekuwa big issue 😀

Yaani wanaona kuwa Tanzania imepatikana kisa KLM inasimama KE! Msee hio inasimama hapo kujalizia abiria tu na hilo ni jambo la kawaida sana.
KLM wanafanya rapid test kwa abiria wao hapa Zanzibar.

Halafu title umesema all international flights, zipi hizo nyingine?
 

5 GB/s? Duh hapo unatuokota tena mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…