Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Hii Hali ya dar es salaam sio powa full radi na mawingu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Hali ya dar es salaam sio powa full radi na mawingu
Radi ziko wapi, watu wa dar mna uoga sana.Hii Hali ya dar es salaam sio powa full radi na mawingu
Weeee 😜Nimeenda kuchungulia, ngoja nicheke kwanza,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣🤣🤣
Nimetumiwa picha zake, ngoja nicheke tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dada Carleen usicheke sanaYule kada anayeweka namba ya simu nitamlipia aje kwa party
Nakooooooojoooooooaaaaaaa 😂😂😂😂😂
Ndio kaka huku mitaa ya kigamboni inapiga sana radiUna hofu juu ya mawingu au radi?
Hii week inaitwa nenda polepole tuone kama nyuma kuna cheza na ikitokea mwanaume kukacheza basi mchezo wenyewe unamalizwa na kina mahiiiiiiiiii.Weeee 😜
Bina mi sitaki, hebu niwekee na mimi nisafishe macho…. Ubuyu wa moto huu bina 😂😂😂😂
Hii week mbona ya moto sana jomooonii
😂🤣Mkuu inapiga sana hii radi ni balaaa Kuna Moja imepiga hadi watoto wangu wamenikimbilia wanaogopa sanaRadi ziko wapi, watu wa dar mna uoga sana.
Unaogopa radi?Ndio kaka huku mitaa ya kigamboni inapiga sana radi
😂😂😂😂😂 Minyama ya ng’ombe hanithiiiiiiiHiyo mijimoo hatuna pa kuiweka cuzzo yani labda tuchinje tuuze kg moja afu tatu mia tano.
Alafu tuwe matajiri tujaze vibubu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shem nitafurahi sana kukuonaYule kada anayeweka namba ya simu nitamlipia aje kwa party
🤣🤣🤣🤣Mwenzio bado natubu midhambii yangu ewwww.Nakooooooojoooooooaaaaaaa 😂😂😂😂😂
Bina una nini lakini?? 🤣🤣🤣🤣
Ntakuchapa ujue, mbona unanifanya nirudi kwenye hekaheka na mwezi wa kwaresima huu
Wii hata km ni kweli ila umetukosea kutusema mbele ya kadamnasi sijapentraaa 😂😂😂😂😂Jamanii wiii si ndivyo alivyo zaliwa 😁😁😁
Sana yaani 🤣 ni hatari sanaUnaogopa radi?
Unanitafutia kitubio kikubwa 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣Mwenzio bado natubu midhambii yangu ewwww.
Sisi hatuwezi kula minyama ya ng'ombe anaebana paja akitaka kususu.😂😂😂😂😂 Minyama ya ng’ombe hanithiiiiiii
Tajir yangu ni ww😄😂😂😂😂 Haya tajiri mtoto na kati ya kkoo