Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mm sitakuepo ๐๐Nimewaachia kina Mpaji Mungu na kimeza Intelligent businessman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm sitakuepo ๐๐Nimewaachia kina Mpaji Mungu na kimeza Intelligent businessman
Kesho?Mm sitakuepo ๐๐
Labda nije kwa ID ya Roving JournalistKesho?
Hakuna shida kikubwa uwepoLabda nije kwa ID ya Roving Journalist
Sema kwel ntakuepo ila nakuja kikazi kama photographerHakuna shida kikubwa uwepo
Hauji na Id yakoNyie ndo mnaharibu meaning ya hii forum, this was made for most of us to be anonymous.
hahahah ushawahi kusikia anapost chochote kuhusu Tulia?Hivi kumbe Tulia alimpiga stop?
Shem tusisubiri hadi sherehe za JF, siku ya sherehe nitakuja na gari yangu kama Lodi LofaShem nitafurahi sana kukuona
Sijawahihahahah ushawahi kusikia anapost chochote kuhusu Tulia?
Kaka naskia baridi sana kakaKaka unawaza nini kwan ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Wengi sisi tumesoma IT na tunaifahamu, anonymity ya mitandaoni can easily be given away ukianza kuingiza hizi social interactions. Nyie mnaotaka kukutana, nendeni twitter kule wako more social than huku. Acheni kutuletea majaribu yasiyofaaHauji na Id yako
Mie nadhani mtu kutumia ID yake itakuwa sawa zaidi, yaani kuwepo usajili kwa wote watakaopenda kuhudhuria, wasajiliwe online kwa kutumia user name kisha wapewe kitambulisho cha kuvaa shingoni siku ya kusanyiko.Ikatokea kukawa na haja kila mtu aje na ID yake
Ewaaa, tutafute dresscode yetu mapema sana!!Hakika nitaingia nimelipuka pamba white ndani mpaka nje...
kuna watu watakuwa kama washiriki wa Olympic waliovaa medali shingoni kwa mujibu wa idadi ya ID zao ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Mie nadhani mtu kutumia ID yake itakuwa sawa zaidi, yaani kuwepo usajili kwa wote watakaopenda kuhudhuria, wasajiliwe online kwa kutumia user name kisha wapewe kitambulisho cha kuvaa shingoni siku ya kusanyiko.
Kigamboni leo kuna baridi au upo chuga msibani๐๐๐Kaka naskia baridi sana kaka
Kaka kwema maana kitambo sana kaka
Kwema kaka Tupo tunapambana kakaKaka naskia baridi sana kaka
Kaka kwema maana kitambo sana kaka
Kaka Leo zimepiga radi sana hukuKigamboni leo kuna baridi au upo chuga msibani๐๐๐
Naunga mkono hoja. Twenzetu tukajumuike pamoja wanaJF wenzangu.Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.
Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!
Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
Kama nani ๐๐kuna watu watakuwa kama washiriki wa Olympic waliovaa medali shingoni kwa mujibu wa idadi ya ID zao ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐