All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Mie nadhani mtu kutumia ID yake itakuwa sawa zaidi, yaani kuwepo usajili kwa wote watakaopenda kuhudhuria, wasajiliwe online kwa kutumia user name kisha wapewe kitambulisho cha kuvaa shingoni siku ya kusanyiko.
kuna watu watakuwa kama washiriki wa Olympic waliovaa medali shingoni kwa mujibu wa idadi ya ID zao ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Wanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.

Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!

Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
Naunga mkono hoja. Twenzetu tukajumuike pamoja wanaJF wenzangu.
 
Back
Top Bottom