Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Upo huru kuchagua kama kubakia Anonymous au kujamiiiana (socialisation)Wengi sisi tumesoma IT na tunaifahamu, anonymity ya mitandaoni can easily be given away ukianza kuingiza hizi social interactions. Nyie mnaotaka kukutana, nendeni twitter kule wako more social than huku. Acheni kutuletea majaribu yasiyofaa