Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Lazima tuwakalishe vijana...😅😅😅ngoja nimeanza kuwasiliana na designer Ili atupangilia kabisaaaEwaaa, tutafute dresscode yetu mapema sana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima tuwakalishe vijana...😅😅😅ngoja nimeanza kuwasiliana na designer Ili atupangilia kabisaaaEwaaa, tutafute dresscode yetu mapema sana!!
Kaka unakumbuka ng'ombe wako wa maziwa yule nilimpiga picha kaka 😂😂 Fanya mipango achinjwe ili tupige supuWe muitaliano wa fast jet😀🤣
Bila kumsahau short Depal, nasi tutaimba Italy Italy Italy.Oya siku hiyo mnipe kitengo cha kutoa buruda yaani burudani ili niimbe karaokeee msaidizi wangu atakuwa ni chingaman aka chinga wanaman Cc Intelligent businessman
😂😂😂😂 Pisi kareeeeeMikwara tu ya humu offline mbona unga unga mwana tu🤣🤣Sema hzo Pisi kali ungenipa anuani zao kuna jambo la kiroho nataman kuwaambia
😂😂😂😂Hata wenye nyoka vilevile hupigwa mawe[emoji2]
Bado hujanidanganya 😂😂😂Mim ni mpole sana sana tena, wote wanajua me mpole wote wanaelewa
Kabisa kaka dada yangu lazima awepo aimbee nyimbo za wapopo Cc DepalBila kumsahau short Depal, nasi tutaimba Italy Italy Italy.
Ohh Italy, come and see Italy
Ohh Italy, I love ndege ya Italy🤒😀
View attachment 2920126
Siku ukinifungulia pm naverify account 😄😂😂😂😂 Pisi kareeeee
Usijali ntakupa hilo limeisha kazi ni kwako
😂😂😂😂Siku ukinifungulia pm naverify account 😄
😘😘😘Me love youuu😘😘😘
Oya bwasheeKama nani 😂😂
Oya sio POa, Nina kipengele Cha ajabu Leo🤣😀.Kabisa kaka dada yangu lazima awepo aimbee nyimbo za wapopo Cc Depal
😂 mshamba weweSito kuwepo bro, labda uende we nusu albinoo
Bro Humu nime kutana na Jamaa 2/3, na Wana nijua coz tulikuwa na ka mishe fulani.Kaka unaogopa Kila mtu atakiona kipara chako
Will you twerk it, so that I can see it🤣😀Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza
Tupande juu ya meza za za za za🤣🤣