Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kuna jomba ana peleka Hadi gari 10 kwa mwezi, sio POA mzee.😁🤣😂😂 We wauzie wale jamaa wanaotoka kasumbalesa wakuibie mtaji wako wa dagaa na hizo korosho zako 😂 vipi skuizi kazi ya kuchoma mkaa umeacha au bado🤣😁😂😂
Kaanza kunipa mchoro kidogo, sema umri ndo naona una mfanya awaze kidogo.
Ila kwenye madini ya biashara, ndo ana nikubali Sana.