All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

😂🤣Mkuu inapiga sana hii radi ni balaaa Kuna Moja imepiga hadi watoto wangu wamenikimbilia wanaogopa sana
Sasa watoto wa dar mchele mchele hao, watoto kiepe hao.

Enzi zetu radi inapiga tunatoka nje maana tulikua tunasema mungu anapiga picha, ko tunaweka styles mbalimbali picha itoke vizuri, nyie kidogo tu unakimbilia ndani.
 
Hapo kwenye usafiri wa pamoja nimependa haiwezakani wengine tuje na daladala alafu wengine waje na magari yao
Tuanze kusemana wewe nilijua una hela ukiwa Jf kumbe ndio hivi
Wazo zuri la usafiri wa pamoja👋
Aikooo! na wewe kwanini uliishi kufake fake JF 🤣 🤣 🤣 ila umenichekesha sana
 
Sasa watoto wa dar mchele mchele hao, watoto kiepe hao.

Enzi zetu radi inapiga tunatoka nje maana tulikua tunasema mungu anapiga picha, ko tunaweka styles mbalimbali picha itoke vizuri, nyie kidogo tu unakimbilia ndani.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mungu anapiga picha lol
 
Jomba maisha yako yalikuwa mazuri, Mimi hiyo radi nili tumia kusomea.
Iki piga nasoma ukurasa mmoja wa daftari chap
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mungu anapiga picha lol
Hamkupitia haya mkuu??
Tulivokuakua tukapigwa bit kali kucheza na radi hasa kama kuna kitu chochote cha rangi nyekundu 😂😂.

Na skuli tulikua tunavaa masweta mekundu, bogi likianza na radi tu kila mtu anaficha sweta lake 😂😂
 
Back
Top Bottom