Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kuna jomba ana peleka Hadi gari 10 kwa mwezi, sio POA mzee.ππ€£ππ We wauzie wale jamaa wanaotoka kasumbalesa wakuibie mtaji wako wa dagaa na hizo korosho zako π vipi skuizi kazi ya kuchoma mkaa umeacha au badoπ€£πππ
SI fellow Mlinzi mwenzagu, usije hamia upande wa maadui au wezi.π€£ π€£ Colony whomwhosewhowhen, last time kuna mahali nilikudirect ukaombe ruhusa! Tufanye tena Mr jobleeee?π€£π€£π€£π€£
Hahahahahaha..nanjilinji hii lindi ,mtwaraMatani ya vijana wenzagu haya, kutaka kujua nilipo.
Ndo Nika waambia nanjilinjii.
Basi Wana ona njia ya kuni komoa, ili wani jue ni kuni chokoza. Hahaha
Pia ni vyema waunga mkono wakajulikana mrengo wao kiitikadi kisiasa, na kiitikadi kimakundi,ili tukio lisiewe sababu za kutafutana na kusumbuana baadaeπ€.Kwa kuwa wapo ambao ukibahatika kuwaona na kuwajua unaweza kuta unabembea na shingo yake bila kuchelewaπ€Έπ€Έπ€ΈWanabody hili ni wazo kwakuwa hili liliwai kufanyika miaka ya 2013-14 na liwa na mafanikio makubwa sana nakumbuka lilifanyika pale Kebby'es na nyingine ikafanyika Escape one.
Namimi nikiwa moja ya hile kamati! Na kwakuwa imepita muda mrefu basi tunaleta wazo kwenu ili anagalau tukutane tuojadili mambo ya maendeleo Kila mtu anabaki na User name yake labda ukiamua wewe kuisema ila siyo lazima kutaja user name yako kwa sababu za kiusalama!
Njia ambayo itakayotumiwa ni kuuza tikiketi kwa mtandao hata katika vituo ambavyo vitatajwa hapo baadae..Kwa sasa ni kutoa wazo muitikio wenu ndiyo utatoa ruhusa ya kufanyika hili jambo! Naleta kwenu wazo!
Hii ndo fursa yenyewe aiseLipia ticket mapema chino hiyo sio ya kukosa π
utakuwa wa Lamomy bila shakaπ€£
Kaka Seoul mpk Huku labda utumie ungoπ.Ticket zianze kuuzwa mapema
Nipo upande wangu mwenyewe π€£ π€£ katikati ya jopo la walinzi watiifuSI fellow Mlinzi mwenzagu, usije hamia upande wa maadui au wezi.
We uli waza nini π€π, una hisi jobless napenda style hizoπ€
Usiseme nilikutumia picha sema uliziscreenshot kweny watsap statusOya Lamomy naona leo nime itwa majina na kupewa Picha kabisaπ€.
Ila shida pacha wako, nime kuwa mkimya coz nili aswa na mtu jana nitulie
Ila Kuna majina nime itwa, for the sake of my image naomba nijibu.
Kautaka upande wa pili kaupata, si Alikuwa ana nitumia Picha zake kibao.
Basi Mwambie a verify hayo madai yake sijui ya ng'ombe na Picha.
Oya aki shindwa, asi nilaumu jamani π
Kuna hela nzuri akiweza, ila na Mimi nimpe jibu I can create any dumb shit image au taarifa kutumia Picha alizi nitumia.
Tena ata nichukia kinyama, Nina wanangu ni it Wana ma group kibao hapo mwanzaππ€£.
SI huwa una sikia zile content za vpn zime vuja, au ile ya gwajima iliyo editiwaππ€.
basi pigo langu ni Hilo, Mwambie kuanzia ya kwake, mdogo, mpaka bimkubwa wakeπ€.
nasubiri majibuππ.
Oyaa una zinguaππ€£,Nipo upande wangu mwenyewe π€£ π€£ katikati ya jopo la walinzi watiifu
Niliwaza life ni Quid pro quo
Hahahahaha...party raha kulewaKikubwa pombe iwe nyingi hamna haja ya chakula...punguzeni chakula zidisheni pombee
Wewe ndio ulitaka nijibu sababu asubui umeniita takataka.Oya Lamomy naona leo nime itwa majina na kupewa Picha kabisaπ€.
Ila shida pacha wako, nime kuwa mkimya coz nili aswa na mtu jana nitulie
Ila Kuna majina nime itwa, for the sake of my image naomba nijibu.
Kautaka upande wa pili kaupata, si Alikuwa ana nitumia Picha zake kibao.
Basi Mwambie a verify hayo madai yake sijui ya ng'ombe na Picha.
Oya aki shindwa, asi nilaumu jamani π
Kuna hela nzuri akiweza, ila na Mimi nimpe jibu I can create any dumb shit image au taarifa kutumia Picha alizi nitumia.
Tena ata nichukia kinyama, Nina wanangu ni it Wana ma group kibao hapo mwanzaππ€£.
SI huwa una sikia zile content za vpn zime vuja, au ile ya gwajima iliyo editiwaππ€.
basi pigo langu ni Hilo, Mwambie kuanzia ya kwake, mdogo, mpaka bimkubwa wakeπ€.
nasubiri majibuππ.
Unaweza kuwa wewe ni konda mcharuko au dere mcharukoπ€£Kikubwa pombe iwe nyingi hamna haja ya chakula...punguzeni chakula zidisheni pombee
Ndio party ni pombe...asubuhi utahadisiwa tu ilivyoishaHahahahaha...party raha kulewa
Kwanini mkuu?Unaweza kuwa wewe ni konda mcharuko au dere mcharukoπ€£