All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Nyie nimegundua mnapendana ila mmeamua kutuchosha tu wambea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mfanye myamalize watu mmefikia hatua hadi familia zenu zinajuana!! Msitake tuingilie baadae tuonekane wabaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Binamu Lovelovie naomba muende chemba mkayajenge 😜
 
Binamu malizeni tofauti zenu nyie mnapendana, ugomvi wa wapenzi naujua tone zao za uandishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie mna kitu
 
Uduguu hi [emoji112]
Mbona adimu sana wewe??
Basi ushafichwa hivo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu ndo nn modes kunikatilii vilee?
Sijapentaaas wallah, nilitakaa nikasawazishee mambo na miee.

Nasikia jana usiku kilikua kivumbii, had uzi ukatiwa kufuli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila yashapita udugu tugange yajayo…. Selfika bye bye km kawaida mods hawataki mambo mengi..!!
Wewe si ulisema uzi usipoe uchachuliwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndio hivo umelala yooo
 
Pole sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yashapita udugu tugange yajayo…. Selfika bye bye km kawaida mods hawataki mambo mengi..!!
Wewe si ulisema uzi usipoe uchachuliwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio hivo umelala yooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa unafungwaje na nilitoa taarifa kuwa na mie ntauchachuaaa.
Modes wamenikosea sana wallah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…