All white JF PARTY 2024 ni nani yupo tayari?

Wifi usimkane buloo wakati na simu ulimpa aongee na mama mkwe, na pesa ya sikukuu ya soda laki 2 buloo alituma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wifi usimkane buloo wakati na simu ulimpa aongee na mama mkwe, na pesa ya sikukuu ya soda laki 2 buloo alituma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nimechekaa kama chizi
 
Na uzi buloo alikuandikia kukuonyesha anavyokulavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na uzi buloo alikuandikia kukuonyesha anavyokulavu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Ila hizo screenshot huyo nae alokutumia atakuja asutwe khaaah
Au ndo anatafuta tuzo ya mmbea namba moja tz.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Na uzi aliwekewa halafu ss hivi anamkana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila na wewe umependwa, dini inaruhusu mtaolewa wote… wifi yenu ntawapangia zamu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Yani mvulana yoyte anaeongea sana sana uongo mwingi mim nope big noope.
 
Lamomy na Nuzulati
Mim naheshimu watu wote humu ndani, ilaa kitendo cha yeye kuninanga ndio kilinikera.
Angekua ni mvulana mwenye akili angekuja akasema oya ww binti acha moja mbili tatu hilo la kwanza.

La pili swala la kuonyesha kama mim niilikua na mahusiano nae ni swala la uongo na kujimwambafy hata shemeji enu wa kweli kaona haya mambo kashangaa. Kwa sababu hata ule uzi aliuona.

Kingine ni kua my love Lamomy huyo alokutumia hizo pdf ungemwambia tu akatafute kitu cha kufanya kwa sababu hata ww umlipi kwa kua chawa wako😘😘😘😘😘😘😘 ( ungemuita akasoma hili pia)

Haya mambo wapenzi tuishieni nayo hapa cz tunakoelekea tutapigwa ban na mim sitak kupigwa ban cz bado naipenda jf.

Haya tupange sare za party JF queens
 
Kipenzi kwa mimi binafsi natania 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…